Mapicha picha ya Kimbunga kilichoikumba Jimbo la Texas nchini Marekani

Mapicha picha ya Kimbunga kilichoikumba Jimbo la Texas nchini Marekani

kati ya vitu ambavyo huwa vinanikera kwa wazungu, ni kuthamini mbwa kama binadamu vile. wanaweza hata kumbusu. ni wajinga sana sana, na wachafu sana sana.
 
Mmh haya majanga ya maji na moto hayanaga mwenyewe!
 
Juzi drogba alipost kwa ulimwengu kunyamaza kuhusiana na majanga yaliotokea Sierra Leone ambapo zaidi ya watu 300 walipoteza maisha wakati huko ulaya wakifa hata watu watatu kwenye ajali dunia nzima utasikia pray for Manchester or pray for Barcelona n.k. tunaguswa sana na majanga ya wenzetu huku yetu tukifumbia macho huu ni utumwa mkubwa sana. Tujaribu kuanza kujipenda na kupendana wenyewe kwanza.
 
Jamaa kaamua kuokoa mbwa na kuacha familia ikiangamia.
Mtambuzi hivi haya mapenzi ya kuwapenda wanyama zaidi kuliko kuwapenda binadamu wenzako, nini chanzo na sababu yake?
upload_2017-8-30_14-31-10-png.578133
Yaani picha nyingi utaona mbwa wamekumbukwa sana nadhani paka hakuna huko au si kitu cha maana, nadhani hakuna aliemsahau binadamu mwenzake na kukimbilia mbwa.
 
Back
Top Bottom