Mapera yanapendeza sana

Mapera yanapendeza sana

Hiv hayo ma fenesi yana ladha gani hua nayaona ni makubwa kama kichwa cha lolowapi

He he he!

Ni matam kama sukari ila kazi kulitengeneza na unapokula lazima yakuchafue
 
Last edited by a moderator:
Duu yakuchafue utapike au?? Mi napenda matopetope na stafeli weeeeee

Yananata kwenye mikono yani yakishanata ngumu kutoa,lazima ujipake mafuta ya kupikia mikononi wakati unaandaa na wakati wa kula.


Matopetope matamu ILS stafeli sipendi yana harufu na chachu kimtindo
 
Yananata kwenye mikono yani yakishanata ngumu kutoa,lazima ujipake mafuta ya kupikia mikononi wakati unaandaa na wakati wa kula.


Matopetope matamu ILS stafeli sipendi yana harufu na chachu kimtindo

Makubwaaaa aisee
 
Yameshaishwa kabisa unakula tu
Acha tu, mimi nayapenda hayo ya njano kuliko iwe kijani kama hilo moja la kijani linaonekana lina ukakasi tena ukiwa unaling'ata nyuma ya meno ya chini lazima likuchune
 
Back
Top Bottom