Mapera yanapendeza sana

Mapera yanapendeza sana

Tumetofautiana mi chungwa pia silikubali,vipi tikiti maji name fenesi?

Tikiti maji napenda sana alafu nkila tikitiki naburudika kweli tena liwe baridiiii fenesi sipendi sana kwanza harufu yake alafu laumiza sana tumbo
 
Kumbe pera maziwa mie nataka ilo bichi mana nna mimba changa lol hahhaha

Bichi ndo alolila mkweo Viol likamshinda...lol ila hilo maziwa kwa uchumvi na upilipili tutamaliza susu!!
 
Last edited by a moderator:
Tikiti maji napenda sana alafu nkila tikitiki naburudika kweli tena liwe baridiiii fenesi sipendi sana kwanza harufu yake alafu laumiza sana tumbo

Ila unapokula tunda unalopenda unaburudika
 
Siyapendi maudhi yanahamia choon ukijisaidia ile kitu kama unaugomvi vile na tumbo
 
Bichi ndo alolila mkweo Viol likamshinda...lol ila hilo maziwa kwa uchumvi na upilipili tutamaliza susu!!

Heee jamani nyie mie ndo nlokua nataka ilooo bichi vimate vimenijaa nnalo pera hapa ila bayaaa halina ladha ata kdg nlinunua kwa hamu nlipoliona kiroho kilinruka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom