Mapenzini na askari polisi au wajeda wanawake

Wanalika wale wa suti nyeusi ije kuwa hawa wenye mabaka na hawa wenye blue na kaki????
 
Acha utoto. Hakikisha unamvua hilo gwanda Kwa mikono yako.
 
Wepesi sana hao viumbe,afu ni very inferior msitishwe na gwanda.
 
Naona mnachokiogopa apo ni magwanda tu ila wengine wanagawa tu kama big g njoo kwangu nina magwanda ila nshakukubalia kabla ata ujaniambia

Asipokuja ni stue mimi Sweet16
 
Last edited by a moderator:

Utakua askar wewe naomba uni pm
 
Mngojee akiwa amevaa nguo za kiraia ndio umtongoza,akiwa na magwanda yake ukimtongoza tu utakuwa umemvunjia heshima kwa mujibu wa sheria za jeshi la polisi na ana uwezo wa kukuarest kama akiamua na ukashitakiwa,hivyo kuwa makini mkuu

Sasa ni saa ngapi utamkuta hivyo? Labda usiku wa manane,hawa waache tu waoane wenyewe.
 
wote wanaolewa na raia ila unaeoa unapaswa kuandika barua ya maombi mkuu... then baadae utapewa masharti ya kuishi na huyo bibie

Nani anataka mlolongo wote huu???
 
Sitaki stress na umri huu,wapo mabinti wazuri tu uraiani naweza kuoa na moyo ukawa swaaafi.mambo ya vichura,mara awe anaondoka saa 6 usiku mpk asbh anakuambia kaitwa na mkuu.utafanye?
 
Sitaki stress na umri huu,wapo mabinti wazuri tu uraiani naweza kuoa na moyo ukawa swaaafi.mambo ya vichura,mara awe anaondoka saa 6 usiku mpk asbh anakuambia kaitwa na mkuu.utafanye?

ndo ukaoe mtaani sasa
 
mbona watu wanafuata??? we unataka kuchezea sio kuoa mkuu

Hata kama nina nia ya kuoa,kwa wale sio rahisi kama unavyosema mkuu,nilishajaribu sana hiyo mwaka 2012,nikaona bugudha na process ndefu na complicated sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…