Mapenzini na askari polisi au wajeda wanawake

Mngojee akiwa amevaa nguo za kiraia ndio umtongoza,akiwa na magwanda yake ukimtongoza tu utakuwa umemvunjia heshima kwa mujibu wa sheria za jeshi la polisi na ana uwezo wa kukuarest kama akiamua na ukashitakiwa,hivyo kuwa makini mkuu

Mkuu hiyo ni sheria kabisa kwamba asipigwe kamba akiwa kwenye 'Yunifomu'?
 

Dah.. Hapo ni hasara taslimu
 
Mkuu acha woga hakuna mwanamke mbishi kwenye mgegedo.
Nenda hapo kituon kwa busara kabisa jifanye kama unatatizo na unaomba ushauri kwake yaan jishushe kabisa akikushaur unapoondoka mtoe hata ten moja au 15 tu halafu mwambie sory afande wangu naomba basi namba yako kukiwa na tatizo zzaid ntakutafuta.

Yaan hutu tu wp ukikaonesha kajisent tu baaas umeua. Mbona utajizolea kiaina
 
ni mwanamke kama wanawake wengine tu .

Kama unatongoza kwa busara anaweza kutoa
muda wake na kukusikiliza.

I like your mindset. I like your thinking capacity. Your common sense is more than common. Thumb my dada
 
ni mwanamke kama wanawake wengine tu .

Kama unatongoza kwa busara anaweza kutoa
muda wake na kukusikiliza.

I like your mindset. I like your thinking capacity. Your common sense is more than common. Thumb-up my dada
 
Nyie ndio mnaotutia aibu wanaume....

Mwanamke ni mwanamke tu, awe mwanajeshi au mtoto wa Obama. Ukicheza karata zako sawasawa, utang'oa tu.

By the way, deep down inside wote mahitaji yao ni yale yale, T.L.C
 
ungekuwa unajua kuwa hao askari magashi wanafeel company ya raia kuliko hata askari wenzao wa kiume yaani wala usingembwela mkuu...yaani kama nkate kwenye shai...wanalepweta tu maaskari wa kike...wakiona misimbazi kadhaa tu...kwisha kabisa... unakamata unamuelekeza kibra unachinja kama kawa...tena kunako tendo wengi wanakuwaga na mzuka ile mbaya...mkuu unaweza ukakuta ghafla unapigiwa salute...!
 

umeongea kweli... Yaan sijui kwann askari wa kike hawawapendi askar wa kiume wanadai ni malaya sana hawatulii na mwanamke mmoja, wakat huo hata wao ni vicheche mno. Ndio maana walio wengi hawaolewi
 

Mkuu hakuna kosa la kumtongoza askari, hivyo usiogope ila tegemea kuwa mtakuwa zaidi ya wawili kwa huyo huyo askari!
 
ndio Mkuu,kama upo na askari unayeelewana nae muulize tu atakuambia,kuhusu kupigwa kamba inawezekana ukampiga ila hadi apende ila na yeye akifumwa hana kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…