Mapenzi yapo uswazi

Mapenzi yapo uswazi

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
601
Habariiiiiiii zenu bhana?
Unataka kujua mapenzi ya kweli na matamu yalipo? Njoo uswazi,Mfano huku kwetu Tandale Kwa Mtogole jamani utapendwa weeee mpaka utaumwa
#Huku watu wanajua kujituma wawapo sita kwa sita sio kama wa uko ushuani
#ukiitaji game mda wowote unapewa sio kama wa uko mara Oooh mie nimechoka subiria wikiend brabraa nyiiiingi
#Alafu mademu wa huku hawana garama sana kama wa uko! mara baby njaa inauma ila nataka nikale mliman city au serena hotel,Oooh baby fashion mpya ya nguo imeingia kama aliyovaa rihanna,amber rose nk
Aujachelewa epuka mastress njoo Uswazi upumzishe moyo
*ONYO:ukitongoza usiwe unajiproud
 
Tangazo limetolewa kwa hisani ya bitebo
^^
 
Last edited by a moderator:
Sasa wakija watoto wa kishua si watawapora wapenzi wenu.
 
Huku uswazi mapenzi tunaanza kujifunza mapema,chabo kama kawa,hapo anajichukulia utaalamu.
 
Attachments

  • 1430549998168.jpg
    1430549998168.jpg
    60.3 KB · Views: 1,479
Sasa wakija watoto wa kishua si watawapora wapenzi wenu.

Mwenye kisu kikali ndio anaekula nyama,yeye na swaga zake tu!
Akija vibaya atachunwa buzi weee mpaka aombe poooo
Huku mzee mzima kesha tonywa kwamba kuna boya kajilengesha ngoja tumuonyeshe jiji then deal agreed at the end deal done unakula za uso na ushua wako
 
Waswazi kwa kujisifia sisi hatujambo
 
Mwenye kisu kikali ndio anaekula nyama,yeye na swaga zake tu!
Akija vibaya atachunwa buzi weee mpaka aombe poooo
Huku mzee mzima kesha tonywa kwamba kuna boya kajilengesha ngoja tumuonyeshe jiji then deal agreed at the end deal done unakula za uso na ushua wako

Mtoto wa kishua kuchoma lak 6 kwa siku viwanja mbona kawaida tu sembuse kuchunwa elfu kumi na watoto wa uzwazi, tehe tehe tehe.
 
Safi,
Uswazi ndiko wanajua kwa kweli.
Ushuani mashariti kibao, nafikria kurudi nyumbani!
 
Basi tUkutane uswazi take away ya mihogo hapa kachumbari hapa chachandu aaah ukishushia na maji siku imepita hiyo. Kuhusu mapenzi mi mgeni.
 
Ubaya wenyewe utatoa ela na papuchi upati

Hao mademu wenu wa uswazi kutwa kwenda kuuza nyago ushuani.. Nenda leo pale Jangwani utavikuta vimejazana vinawinda watoto wa ushuani teh teh..

Huko Instagram ndio usiseme kazi yao kubwa kuwashabikia watoto wa ushuani kama akina wema et al.. watoto wa uswazi bwana
 
Bila shaka tangazo hili linaletwa kwa udhamini wa watu wa marekani
 
Habariiiiiiii zenu bhana?
Unataka kujua mapenzi ya kweli na matamu yalipo? Njoo uswazi,Mfano huku kwetu Tandale Kwa Mtogole jamani utapendwa weeee mpaka utaumwa
#Huku watu wanajua kujituma wawapo sita kwa sita sio kama wa uko ushuani
#ukiitaji game mda wowote unapewa sio kama wa uko mara Oooh mie nimechoka subiria wikiend brabraa nyiiiingi
#Alafu mademu wa huku hawana garama sana kama wa uko! mara baby njaa inauma ila nataka nikale mliman city au serena hotel,Oooh baby fashion mpya ya nguo imeingia kama aliyovaa rihanna,amber rose nk
Aujachelewa epuka mastress njoo Uswazi upumzishe moyo
*ONYO:ukitongoza usiwe unajiproud
Mwananyamala ndo mwisho wa matatizo,huenda ni kwa sababu imepakana na Kwa-Mtogole
 
Hao mademu wenu wa uswazi kutwa kwenda kuuza nyago ushuani.. Nenda leo pale Jangwani utavikuta vimejazana vinawinda watoto wa ushuani teh teh..

Huko Instagram ndio usiseme kazi yao kubwa kuwashabikia watoto wa ushuani kama akina wema et al.. watoto wa uswazi bwana
Jangwani hii nayoifahamu mie au?If so pale wanawawinda watoto wa ushua upi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom