Mapenzi yanazingua

Mapenzi yanazingua

Mimi nawashangaa Sana nyie watu mbona wapo wasiopiga vizinga au hamuwaoni???

Acheni kuparamia msivyoviweza mnataka vitu vikubwa vya mamilioni wakati unajijua wewe wa 1000.
Acheni sifa za kijinga. Kwa kipapi gani hata tutoe milioni?

Hivi wanawake mnajua kuwa mnazeeka haraka? Mnachoka haraka? Mnaisha ladha haraka?

Kuweni waungwana.
 
Mimi mpiga mizinga hatari na siyo ya kitoto, Kama Una mkwanja mrefu usio wa mawazo karibu tubonge

Wapiga mizinga hawajitangazi, ila gusa unate. Utajuta watakavyokupelekesha, ndio maana die wenye pesa za mawazo tumeamua kukubali yaishe tu.
 
Back
Top Bottom