Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Umesahau mkuu amawa dar wamefanyaje??
Umesahau mkuu amawa dar wamefanyaje??
Wewe ndo unajua nini maana ya mwanamkenapenda hao mademu maana inanilazimu niwe na si chini ya elf 50 mfukoni ili akihitaji ya kusuka 25 elfu nampa 35 nyingine nauli basi maisha yanasonga hakuna bure kwenye raha wewe ukiona yamekushinda nenda kwa students hao hawana gharama kabisa
mi sifahamuUmesahau mkuu ama
Angelita mrembo,hebu nioneshe hao ambao wasio piga mizinga tafadhali,tena unitumie namba zao kwa PM,maana kila siku nafilisika tu,nikiinuka tu wananimaliza mamii.Mimi nawashangaa Sana nyie watu mbona wapo wasiopiga vizinga au hamuwaoni???
Acheni kuparamia msivyoviweza mnataka vitu vikubwa vya mamilioni wakati unajijua wewe wa 1000.
Mkuu hadi zawadi ya pipi unalalamikaEbu dada zetu badilikeni bana,, life ngumu mbon tunakomoana vizinga vya ajabu kila time,, ukitoka tu utasikia baby usisahau kuniletea zawadi.
Embu nitumie vocha ya Tigo ya 10,000/= nikutumie hizo nambaAngelita mrembo,hebu nioneshe hao ambao wasio piga mizinga tafadhali,tena unitumie namba zao kwa PM,maana kila siku nafilisika tu,nikiinuka tu wananimaliza mamii.
Mamii kwangu inakuwa ngumu kuachana na mapenzi,nikiacha tu napungukiwa maji mwilini,pesa nazo zinapote mamii,ila nikirudia mapenzi tu pesa nazo varuvaru zinajaa.Ukiona mapenzi yanazingua achana nayo fanya mengine
Bora unitumie account number tu nikuwekee faranga,maana PM hutaki haya mamii nasubiri bank details.Embu nitumie vocha ya Tigo ya 10,000/= nikutumie hizo namba
Ha ha ha. Kijana wa Watu atashindwa kupiga mechi mbeleni. Bora aende sinza tu😀😀😀Sasa kama hautaki kupigwa mizinga unakuwa na mpenzi kwa nini?View attachment 398813achana naye, piga nyeto tu..
Eboooooo!
Nitumie tu hizo namba za credit pmBora unitumie account number tu nikuwekee faranga,maana PM hutaki haya mamii nasubiri bank details.
Basi we endelea nayo kama yananaenda sambamba na pesaMamii kwangu inakuwa ngumu kuachana na mapenzi,nikiacha tu napungukiwa maji mwilini,pesa nazo zinapote mamii,ila nikirudia mapenzi tu pesa nazo varuvaru zinajaa.
Nikikupata wewe nitatajirika aisee.Basi we endelea nayo kama yananaenda sambamba na pesa
Basi anza kunihonga kila siku ili unipateNikikupata wewe nitatajirika aisee.
Wewe leta utani tu,dawa yako iko jikoni,nakuendea Bagamoyo kwa mganga wa jadi,shuri yako mamii.Basi anza kunihonga kila siku ili unipate
Mamii tatizo niko nchi za watu nasafisha vyoo ,ningekurushia fasta yaani ili nipone nione raha.Nitumie tu hizo namba za credit pm