Mapenzi yanazingua

Mapenzi yanazingua

wareuben

Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
17
Reaction score
12
Ebu dada zetu badilikeni bana,, life ngumu mbon tunakomoana vizinga vya ajabu kila time,, ukitoka tu utasikia baby usisahau kuniletea zawadi.
 
Ebu dada zetu badilikeni bana,, life ngumu mbon tunakomoana vizinga vya ajabu kila time,, ukitoka tu utasikia baby usisahau kuniletea zawadi.
Sasa mwanangu hata Big Boom ya mia mbili inakushinda??
wanawake wanatekwa na vitu vidogo vidogo,
Akikwambia zawadi usifkirie ni ile ya milioni,
Yani unaeza ukamletea hata apple akaridhika
 
Mimi nawashangaa Sana nyie watu mbona wapo wasiopiga vizinga au hamuwaoni???

Acheni kuparamia msivyoviweza mnataka vitu vikubwa vya mamilioni wakati unajijua wewe wa 1000.
Dah...Kizinga ndiyo thamani ya mwanamke.....kila mmoja na bei yake....na bei inategemea na hitajiko lake sokoni....hujawahi kusikia buy 1 and get 2 free? Hii hutokea pale bidhaa unapokosa thamani sokoni....pale inapokuwa imepitwa na wakati au inakarbia Ku expire...
 
mi huwa nakubali then sibebi kitu washanizoea sikuizi.
 
Hajakutajia aina ya zawadi... kwa hiyo mpelekee hata gazeti la udaku...
 
Mimi nawashangaa Sana nyie watu mbona wapo wasiopiga vizinga au hamuwaoni???

Acheni kuparamia msivyoviweza mnataka vitu vikubwa vya mamilioni wakati unajijua wewe wa 1000.

Mbona wewe umejitoa kwenye orodha ya wasiopiga mizinga? Kama na wewe ni miongoni mwa hao, taja basi wewe wa bei gani tuongee inbox????
 
Ebu dada zetu badilikeni bana,, life ngumu mbon tunakomoana vizinga vya ajabu kila time,, ukitoka tu utasikia baby usisahau kuniletea zawadi.
Sasa kama hautaki kupigwa mizinga unakuwa na mpenzi kwa nini?
1473681251335.jpg
achana naye, piga nyeto tu..
Eboooooo!
 
napenda hao mademu maana inanilazimu niwe na si chini ya elf 50 mfukoni ili akihitaji ya kusuka 25 elfu nampa 35 nyingine nauli basi maisha yanasonga hakuna bure kwenye raha wewe ukiona yamekushinda nenda kwa students hao hawana gharama kabisa
 
Ebu dada zetu badilikeni bana,, life ngumu mbon tunakomoana vizinga vya ajabu kila time,, ukitoka tu utasikia baby usisahau kuniletea zawadi.

No offense,but hata wewe unaboa na vithread vyako vya ajabu ajabu mkuu.
 
Back
Top Bottom