Kabisa aiseh [emoji1][emoji1]
ππππSasa nimekuelewaππ
Ninakaa kwa utulivu kabisa Eli.au nishindwe halafu nikwambie!!ππ
inategemeana unaichukuliaje,kama unaichukulia kam sembe inakufanya kuwa sembeHivi kubet si ndo aina nyingine ya madawa ya kulevya!!au mimi ndo sielewi
[emoji1][emoji1]sawa umeshinda kwa upande wakoHuwezi kunidanganya aise..huo ni ugonjwa mpya wa madawa ya kulevya
Bado hujashindwa? Ujuwe nasubiri hapa!!ππCheka tu Eli hakuna namna..ππ
Nimebakiza masaa machache sana ya kukwambia Mr Arsenal
Njoo kwangu utapata pumzikoππNimeshashindwa mr Arsenal nakwambiaππ
Haya yasiwe matumaimi hewa,[emoji39][emoji39][emoji39] halafu yule crush wako tumekubaliana tumwambieje sasa[emoji23][emoji23][emoji23]nakuja...sijui mbona hutokei baba loo nakuja[emoji444][emoji444][emoji444]
Mbona hutokei tena jamani.. niko hapa nje nakusubiriHaya yasiwe matumaimi hewa,[emoji39][emoji39][emoji39] halafu yule crush wako tumekubaliana tumwambieje sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
πππππMbona hutokei tena jamani.. niko hapa nje nakusubiri
Yule haambiwi kitu
analindwa kama lile yai lililotoka kutagwa sasa hivi.sitaki baya lolote limpate wala mbu yoyote amngβate.
Nitasaga Tena debe ZimaPole sana aiseh...
Vipi unga wa lishe ukiisha utasaga mwingine au utaendelea na mapenzi