Mapenzi yanaumiza sana

Mapenzi yanaumiza sana

Kisicho riziki broo achana nae endelea kutafuta utampata mnae pendana sio lazima kila umpendae umpate
 
Licha ya kwamba nilimpenda, kumjali na kumbembeleza kwa miaka sita mfululizo hakutaka witness hakutaka kabisa kuelewa hisia zangu kwake! Hatimaye baada ya rafiki yangu aitwae frank kunitembelea akamuona mtoto mzuri witness na kuamua kumtongoza, huwezi amini! Ilimgharimu frank dakika tano pekee kuweza kumshawishi witness wafanye mapenzi na kukubaliwa.sasa frank anataka nimuachie ufunguo wa chumba tunachoishi ili wafanye lile tendo pendwa! Kwa kweli lazima nikiri, nimeumia na kufadhaika mno,kwani witness nilimpenda na bado naendelea kumpenda. Je, wadau mnanishauri vipi hapo? Nimuachie jamaa chumba au niache maana sielewi cha kufanya kutokana na hii hali.
Achana naye Hisia zako zitakutesa , elewatuu frenk alienda kwa lengo la chap chap , japo ulikuwa na malengo malefu na witness
Amini haikuwa riziki yako na Witness atajifunza mengi kutoka kwako.
Wako yupo , atakuja wakati hutegemei
 
Pole Mkuu.

Mapenzi yako hivi mtu unayempenda hakupendi, anayekupenda haumpendi unachukulia upendo wake poa.

Unavyoumia kuwa huyo binti hakupendi ni kawaida tu maana hata Wewe kuna mtu utakuwa unamuumiza bila kujua kama anakupenda.
 
Achana naye Hisia zako zitakutesa , elewatuu frenk alienda kwa lengo la chap chap , japo ulikuwa na malengo malefu na witness
Amini haikuwa riziki yako na Witness atajifunza mengi kutoka kwako.
Wako yupo , atakuja wakati hutegemei
Ngoja nisubiri ila inauma sana kwa kweli.
 
Hanc+Pol+20170104_224413.jpg
 
Mapenzi kitu nyoko sana , Samson alisanda ajili yake
 
Pole mkuu! Kwani rafiki yako alifahamu nia yako kwa huyo mdada? Kama alifahamu na akaendelea, si rafiki mzuri huyo na wala usimwachie chochote.
Jifunze ulipokosea na usonge mbele.
Ila, Miaka sita mkuu? Huyo mwanamke anataga dhahabu ama? Jiongeze na tafuta msichana mwingine.
 
kuwa mpole mkuu watu wafanye yao chukulia kama hujumjui huyo dem na kuanzia hapo muite shemdarlin vingnevyo utaonekana ww ndio nux yao utawanyima geto na mtoto ataliwa hvyohvyo na atakudharau sana na wakat huo mshkaj wako atakuona booonge la bashite...
Cha muhimu funika kombe mwanaharamu apite
Sawa! Lakini sio rahisi kama inavyofikiriwa.
 
Pole mkuu! Kwani rafiki yako alifahamu nia yako kwa huyo mdada? Kama alifahamu na akaendelea, si rafiki mzuri huyo na wala usimwachie chochote.
Jifunze ulipokosea na usonge mbele.
Ila, Miaka sita mkuu? Huyo mwanamke anataga dhahabu ama? Jiongeze na tafuta msichana mwingine.
Frank hajui chochote kinachoendelea kati yangu na wit.
 
Back
Top Bottom