Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,640
- 9,263
Anayejua kutafuta pesa.
Hapana na uongo mkubwa huo ,sijaongea ichoTatizo lako lipo hapa. Sisi wanaume tunapenda kuheshimiwa na kuelekezwa kwa ustaarabu.
Umenikuta sina hela ila unanipenda sana ila tunavyokuwa unaongelea habari za wanaume wenye hela. Nitakuvumilia kwakuwa sina pesa, ila nikishapata lazima nikuache sabababu
1. Unatafuta mwanaume mwenye kujua pesa na siyo mume.
Sisi wanaume tunapenda kuishi na mwanamke ambaye atatuvumilia hata ukiwa na mia mbovu. Inaonekana jamaa hakupenda kwasababu
a) Ulikuwa unampangia vitu vya kununua. Ukimkuta amenunua hata simu ya laki 2 una kasirika, kwann hiyo pesa asiweke kwenye mzunguko wa biashara.
b) Zamani ulikuwa unamchukulia hajui kutafuta pesa ndiyo maana umesema wewe ndiyo km ulikuwa una mshauri.
Ndo hivyo mkuu wacha tuoane, au tuache kulia lia yakitukuta kama haya, by the way bia sio tamu kiviiile!Sasa mkuu ,km watu wanatakiwa wasubiri wakishafunga ndoa ndo waanze maisha huon kwenye mahusiano watu watakua wanaishi kwa taadhari sana coz anakua hana uhakika ....na madhara ya kuishi mguu mmoja ndani ,mguu mmoja nje ...n makubwa kwakua kila mtu anakua kimkakati yan ukizingua tayar anapakujishika ..sasa hayo sio mahusiano ni ujanja ujanja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapana na uongo mkubwa huo ,sijaongea icho
Jua litazama ma mdogo.. atakuja kutafuta mume yoyote huyuWe ni mdogo sana kuandika uzi mreefu kisa umeachwa!
Unatakiwa uanze kutafuta shughuli ya kufanya ili uwe busy na maisha, mapenzi yatakuja yenyewe muda wake ukifika!
Kila la kheri, na bado hukomi...
Sijakoma, nimerudia kwingine...Naona ulikoma kwa Mahondaw. Sioni tena mapenzi mubashara tena. Mapenzi yamejaa ujinga mwingi sana.
Alafu mbona matakwa yako rahisi kabisa. Ebu njoo pm beana mie natafuta mwanamke mwenye sifa zakoHabari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.
Hawezi kukoma pale..mpaka watenganishwe na kifo..Sijakoma, nimerudia kwingine...
My wangu usisumbuke hata....jiweke busy kua busy tafuta issue za kufanya fanya.......maisha yatasonga....wanaume wengi sa hv ni waongo sana wengi ni matapeli tuHabari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.
Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.
Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.
Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.
Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.
Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi , zaidi ya yote awe mchamungu .