kuna wadada wazalendo lakini wanagongwa gongwa gongwa gongwa tu hadi wanakata tamaa mwisho wa siku naye anakua fisadi tu[emoji23][emoji23][emoji23]Habari zenu ,Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu , jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.
Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.
Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.
Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.
Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.
Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi , zaidi ya yote awe mchamungu .
Kwahiyo sisi tusio watumishi tunabet Maisha?Ninamaana itakuwa na uhakika wa kazi na kipato cha kuendesha familia
Pole ,Mungu hakukupangia hao labda hata mngeshindwana mbeleTulio wengi tunakosea sn kwa kuwatengeneza watu tunaowataka katika fikra zetu.Awe hivi,awe vile,awe na hiki na kile.
Tunasahau kuwa muda unaenda.
Me nimetendwa sn na wadada 2 amabao niliamua nioe.Wa kwanza nilimfuma live amevua chupi na ametoa dyudyu na wa pili nilianza maandalizi ya kwenda kumvisha pete kwao but yule dada akatoa dyudyu kwa mtu na mimba ju.
Hapa nilipo nina ganzi ya mapenzi,sihangaiki nayo hata kidogo.Hata nisipooa fresh tu.
So dada be patience, si lazima kuolewa
Njoo pm mama,utasahau yoteHabari zenu ,Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu , jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha.
Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia mwaka huu mwezi wa saba akasema tuachane , hivyo nilimkubalia maana mahusiano hayalazimishwi.
Ikumbukwe huyo kaka wakati nipo nae nilikuwa nikikataa wanaume wengine waliokuwa wakinifuata , baada ya kumuona yupo serious, niliamua kufanya nae malengo,Mimi ninapenda biashara japo elimu yangu chuo sikusomea mambo ya biashara, nilimshauri pamoja na kufanya nae mambo mengi sana, taratibu akaanza kutoka hatuwa aliyokuwa nayo na kwenda hatua ya juu zaidi ya kimaendeleo.
Baada ya kuona nimeshampenda ilifika hatua hadi alihama alipoishi bila kuniambia,lakini mim naishi na wazazi , baada ya Mimi kupafahamu kwake matokeo yake alinitambulisha kuwa mim n mdogo wake niliumia sana na ndy mwanzo wa kunifanya visa hadi tukaachana niliumia sana maana nilimpenda mno.
Sikutaka kupoteza muda pia kuna kaka alikuwa akinitaka niliamua kumkubalia ili nizidi kupoteza mawazo na kumsahau haraka yule wa mwanzo ,tulianza vizuri lakini na yeye yapita wiki moja Sasa tumesha achana, nilichokigundua kwake hakuwa serious na hatahivyo alitaka nimpende kwa pesa zake hivyo alitumia nguvu nyingi kunionesha alivyonavyo, baada ya Mimi kuona nimempima kwa vipimo vyangu ndipo aligundua kuwa nimejua anacho hitaji na kukndoka mwenyewe.
Ndg zangu yote haya yaliyo nikuta , kusema Ukweli ninahitaji faraja ya moyo saana ,maana ninatamani kuwa na mahusiano serious lakini wanaume kwa Sasa hawaeleweki, hata wawe wachaMungu ,hakuna lolote, inshot mi napenda kusali(mkristu) lakini mkaka akishajua jinsi ulivyo nae anakuja kwa style hiyo hiyo Ninahisi kwa Sasa hakuna waoaji maana nimekata tamaa kabisa.
Natamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi , zaidi ya yote awe mchamungu .
Alafu unaanzaje kutengeneza maisha na mtu ambaye hajakuoa, hilo ni kosa kisheria, anapaswa ashitakiwe afungwe😂😂Hakuna mwanaume mwanaume mwenye dharau kama mwanaume maskini wewe unamwonea huruma yeye anakuwa nawe kitarget apozee machungu,akipata anatafuta anaemtaka.Bora unyanyaswe na tajiri lakini anazo tena Mara 100
Njoo pm mama,utasahau yote
Mtumishi, Mcha Mungu, Asiye na Mtoto, hahaha...ngoja afike 38 ndio atajua nini maana ya vigezo...23 si yuko shule?umri wako - 23 umekuwa na mahusiano miaka 5!
maana yake ulianza kuchana Msamba ukiwa mdogo sana then unataka mwanaume aliye tulia !!
Anayefanya kazi Taasisi isiyo ya Umma hutaki,AWE MTUMISHI WA UMA JAMANI ,NAMAANISHA HIVO
Hapana, unampotosha!Tafuta rebound boyfriend upoze moyo
Acha uongo wewe, najibu pm za watu mbona