Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,911
- 3,273
Hata mi nimeshangaa mkuu😂😂.Mdanganye tu..😂
Nilifikiri mtumishi wa Mungu maana mimi nilikuwa tayari hapa.AWE MTUMISHI WA UMA JAMANI ,NAMAANISHA HIVO
Wewe ni mtumishi mkuu?Miaka 23 bado binti mbichi sana EMbu njoo pm kwanza tujue tuanzie wapi
Kikubwa akutane na fundi tu yeye pamoja na kazi yake,hela zake,moyo wake na hisia zake wote watateseka..😂Hata mi nimeshangaa mkuu😂😂.
Wanasemaga tu ivo lakini mapenzi ni kitu nyingine aisee. Zaidi zaidi ndo ataanza kuhonga zaidi ili apendwe.
Sio aliye tulia, mwanaume mtumishi mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] hata kama ni mlinzi lakini ni mtumishi [emoji23][emoji23][emoji23]umri wako - 23 umekuwa na mahusiano miaka 5!
maana yake ulianza kuchana Msamba ukiwa mdogo sana then unataka mwanaume aliye tulia !!
Huyu humpati ng'ooNatamani sana kuwa hata na mpenzi anayejitambua , anayejua kutafuta pesa ,ambaye hajaoa wala Hana mtoto ,maana Mimi pia Sina mtoto, awe mtumishi , zaidi ya yote awe mchamungu .
Kwani Utumishi wa umma unachangia nini kwenye UPENDO?AWE MTUMISHI WA UMA JAMANI ,NAMAANISHA HIVO
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyu humpati ng'oo