Ungejua sababu ya watu kujinyoga usingewalaumu
Sounds like a funny joke until you have to swallow this bitter pill. Sikuwahi kukongoroka kama jinsi nilipopata first heartbreak. Kwa sasa nishakuwa team fisi 😂😂😂 nayaendesha mapenzi wala sio abiria no more.
Kwahiyo tukusaidie nini labda?
Hilo suala lako litanipa funzo gani mimi ambaye sisadiki mapenzi na kuyaweka kama kipaumbele?Sijaweka mahali naomba msaada but nimeweka kila mtu ajifunze kwa anaeweza kujifunza
Hilo suala lako litanipa funzo gani mimi ambaye sisadiki mapenzi na kuyaweka kama kipaumbele?
Kwanini wewe hujapita kimya?Unatakiwa upite kimya kimya
Daah ninyi so ndio huwa mnasema hamuumii? Mwanamke akikupiga kibuti unashangilia maana amekupa nafasi ya kuchukua kitu kipya. Nikikupa pole itakuwa ya kinafiki wacha tu niishie hapo
Kwanini wewe hujapita kimya?
Kwani nini kilitokea mkaachana mbona hujasema na zaidi kama unalalamika sana juu ya mwenzio. Weka story wadau tujue tunasimamia upande gan
Huwa wanalia moyoni mpendwa.Daah ninyi so ndio huwa mnasema hamuumii? Mwanamke akikupiga kibuti unashangilia maana amekupa nafasi ya kuchukua kitu kipya. Nikikupa pole itakuwa ya kinafiki wacha tu niishie hapo
Huwa wanalia moyoni mpendwa.
Naamini hata hao huwa hamaanishi wanachosema ila basi tu wanaume siku zote hupenda kujifanya wapo strongSio wotee, na hakuna ambae haumii labda wale wa piga usepe, uwekeze kwa mwanamke akuache usiumie, halipo hilo dada
Unaharibu muda wako kuwaza mapenzi hadi karne hii.!!!Kwa kuwa wapo ambao mapenzi ni sehemu ya maisha yao kama mimi
Kuna wengine mapenzi ni burudani siyo maisha. Yaani niumie kwa sababu ipi kubwa?Naamini hata hao huwa hamaanishi wanachosema ila basi tu wanaume siku zote hupenda kujifanya wapo strong