Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Wanaume baadhi mnakosea sana kumpenda mwanamke mpaka akahisi kukinai kupendwa,hivyo ni rahasi sana kuumia endapo kutatokea kutoelewana,
Mwanamke mpende kiasi,mjali kiasi,ili asijue umesimamia wapi,pia mtimizie mahitaji yake kama inavyotakiwa,ila uwe na maamuzi ya kiume ukisema hapana umaanishe hapana na yeye atambue hivyo,na katika suala la mawasiliano usipende sana kufuatilia simu ya mkeo mpe uhuru na ila umuonye kulingana na misimamo yako,naamini ukianza na utaratibu huu hautakaa ujute kamwe,kifupi usimruhusu mwanamke akakuelewa kwa 100% utajuta,jitahidi angalau akuelewe kwa 70% tu inatosha.
 
Daah ninyi so ndio huwa mnasema hamuumii? Mwanamke akikupiga kibuti unashangilia maana amekupa nafasi ya kuchukua kitu kipya. Nikikupa pole itakuwa ya kinafiki wacha tu niishie hapo
Kuumia kupo ila ukiwa na expectations, hii hutokea first time mwanaume anapopenda kweli na kutazama future na mwanamke husika. Ukipigwa za uso hapo lazma udate.

Ila kwa wale wa kusogezea siku hata kibuti siwazi kwanza ndio nauza match kila nikipata nafasi. Ntaumiaje wakati sina mpango nawewe. Works like that!
 
Ni kweli kinachomfanya mtu aumie ni expectations
Kuumia kupo ila ukiwa na expectations, hii hutokea first time mwanaume anapopenda kweli na kutazama future na mwanamke husika. Ukipigwa za uso hapo lazma udate.

Ila kwa wale wa kusogezea siku hata kibuti siwazi kwanza ndio nauza match kila nikipata nafasi. Ntaumiaje wakati sina mpango nawewe. Works like that!
 
Kupenda hadi kushindwa kula,kutundikiwa drip dah mie naona ulijiendekeza sana...

Wewe sio wa kwanza Kupenda wala hautakuwa wa mwisho hebu jikaze na upunguze kulialia.
Hahahaha wewe hujawahi penda, usimdharau huyu jamaa sio mwenda wazimu. Naamini mara yako ya kwanza kupenda ikitokea hitilafu utameza maji ya betri
 
Wanaume baadhi mnakosea sana kumpenda mwanamke mpaka akahisi kukinai kupendwa,hivyo ni rahasi sana kuumia endapo kutatokea kutoelewana,
Mwanamke mpende kiasi,mjali kiasi,ili asijue umesimamia wapi,pia mtimizie mahitaji yake kama inavyotakiwa,ila uwe na maamuzi ya kiume ukisema hapana umaanishe hapana na yeye atambue hivyo,na katika suala la mawasiliano usipende sana kufuatilia simu ya mkeo mpe uhuru na ila umuonye kulingana na misimamo yako,naamini ukianza na utaratibu huu hautakaa ujute kamwe,kifupi usimruhusu mwanamke akakuelewa kwa 100% utajuta,jitahidi angalau akuelewe kwa 70% tu inatosha.
You did this from the second time you loved a woman. First time lazma uliumia tu hata ukijitutumua. There was a point ulilia mzee. Ruksa kubisha. Maana mtu mpaka ayajue hayo lazma kuna changamoto alipitia
 
Wanaume baadhi mnakosea sana kumpenda mwanamke mpaka akahisi kukinai kupendwa,hivyo ni rahasi sana kuumia endapo kutatokea kutoelewana,
Mwanamke mpende kiasi,mjali kiasi,ili asijue umesimamia wapi,pia mtimizie mahitaji yake kama inavyotakiwa,ila uwe na maamuzi ya kiume ukisema hapana umaanishe hapana na yeye atambue hivyo,na katika suala la mawasiliano usipende sana kufuatilia simu ya mkeo mpe uhuru na ila umuonye kulingana na misimamo yako,naamini ukianza na utaratibu huu hautakaa ujute kamwe,kifupi usimruhusu mwanamke akakuelewa kwa 100% utajuta,jitahidi angalau akuelewe kwa 70% tu inatosha.

Labda sahivi ndio naweza kukuelewa
 
Back
Top Bottom