Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Sounds like a funny joke until you have to swallow this bitter pill. Sikuwahi kukongoroka kama jinsi nilipopata first heartbreak. Kwa sasa nishakuwa team fisi 😂😂😂 nayaendesha mapenzi wala sio abiria no more. Japo i still love deeply ila ubongo wangu uko nyuma ya moyo wangu full time.

Its very easy to manage ukiweza kuwa na options za wanawake. Make sure usiwe na demu mmoja kuepuka kuegama zaidi kwake
 
Daah ninyi so ndio huwa mnasema hamuumii? Mwanamke akikupiga kibuti unashangilia maana amekupa nafasi ya kuchukua kitu kipya. Nikikupa pole itakuwa ya kinafiki wacha tu niishie hapo

Sio wotee, na hakuna ambae haumii labda wale wa piga usepe, uwekeze kwa mwanamke akuache usiumie, halipo hilo dada
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom