Huu ndio uongo ambao wengi huwa wanadanganyana.Tafuta hela kenge wewe, wanaume wenye pesa hawana muda wa kulialia kwenye mapenzi.
Ndo maana hata wenye hela huishia kujiua japo kwa nje wanaonekana kuwa na furaha na wameyapatia maisha.Huu ndio uongo ambao wengi huwa wanadanganyana.
Pesa inasaidia kuficha uharisia mbele za macho ya watu tu lakin ukwel unabaki pale pale
Hii picha Ina maana gani
Usithubutu kujishusha jamaa kalaa wewe potezeaNaogopa ataniumiza zaid ataona kama mm ndo nimedoda!!
Shida nna kiburi fulan cha ukooo
Mwenzio imenikuta jana usiku ivo ivo uziwako sipunguzi kitu apo sema tofauti ni kwamba mm uyu manzi wangu ndio kama wanaanza ila leo full kushinda kwangu anajipendekeza kwa kila jambo afu mzee najifanya kama sija mind ...dah kaka moto ninao sikia moyon acha tuu . Kweli aya makitu hayana mbabe nimekubali mkuuNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!!ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma
Haina makombo na wewe kula tuuMkuu
Mwenzio imenikuta jana usiku ivo ivo uziwako sipunguzi kitu apo sema tofauti ni kwamba mm uyu manzi wangu ndio kama wanaanza ila leo full kushinda kwangu anajipendekeza kwa kila jambo afu mzee najifanya kama sija mind ...dah kaka moto ninao sikia moyon acha tuu . Kweli aya makitu hayana mbabe nimekubali mkuu
Ulichofanya mkuu nitiba tosha kwako japo kunawatu watazan ni ulimbuken ila binafsi nimekuelewaDah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.
Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Me ndo maana nliona bora nijiunge chama la watendaji na sio ili chama la kulia lia......hapa nmetoka mchapia kidume mwenzang dem wake ambae ni ex wang.....namsaidia majukumu maana yupo mbali na anamtolea mahali.mapenzi konyoNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!!ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma
Haina makombo na wewe kula tuu
Mhehe wa mlandege amekukamata hahahahahasio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi
Usiombe msamahaUjue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa
Utakuwa mjita wewe , maana wale watu wana viburi sanaNaogopa ataniumiza zaid ataona kama mm ndo nimedoda!!
Shida nna kiburi fulan cha ukooo
Mhehe wa mlandege amekukamata hahahahaha
kama mond platnams, anakuambia; "mi siwatafuti, wananitafuta wao, ukitaka kusepa wee sepa watakuja wengine, nawala na wao wakizingua wapite kule sina time, sibembelezi mtu mzima".Tafuta hela kenge wewe, wanaume wenye pesa hawana muda wa kulialia kwenye mapenzi.