Mapenzi yanauma jamani

Yaani kuna siku nilisha wahi kuachwa na demu nili data hadi nikamtafuta mwanasaikologia akanipa msaada japo msaada wake kwa kiasi flani ulinisaidia now na miaka 7 sijawah kuwa na mahusiano na mwanamke nikiwa na shida naenda ilala naende kuchukua mzingo wa buku mbili jero natulinza mtima wangu!
 
Miaka 5 mnagegedana but no mtoto, kweli? Ulaya na marekani hii kitu inawezekana lakini kibongobongo haiwezekani.
 
Tena kijitahidi sana 5yrs kwenye mahusiano kwel.....mm mwanamke ni miez mitatu tu nishampiga kibuti
 
koma lia sana tena sana penda Mungu kwanza
 
pole sana jaribu kujichanganya na marafiki na epuka kukaa alone usikurupuke kutafuta wa kuziba pengo( wakukufariji)utakuja juta tulia na fanya yako kwa ajili ya maendeleo yako usipoteze muda kumfikiria ndege aliye jipeperusha mwenyewe utakonda bure
 
Kwa hiyo ndio umekuja kusema umu sio?? Sasa wife mpya atakupigia simu tena akueleze ulipokosea!!
By your 5yrs X.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Vaileth zainabu

Majina yalimchanganya wewe Ni dini gani?
Ukiitwa Vaileth unaitika
Ukiitwa Zainaibu pia upo
 
Dada pole sana hua kuna vitu vinatupata kama funzo nina imani umejifunza sasa na utjifunza kutokana na makosa hakua riziki yako omba Mungu sana akusaidie halafu kiasi flani this is one sided story nina imani shemeji nae anayakusema
 
Mnapenda kulalamika tu wakati nyie ndio chamzo cha yote, miaka mitano mmekwenda vizuri nini kimetokea mpaka leo, kwa nini.kwanza.mika mitano mlikuwa mnasubiri nini??
 
soma na hapa mawazo ni kaugonjwa kaliko sahauliwa
utajifunza mengi ila chamsingi ni kumuacha aende pengine atakuja mwingine mwenye mapenzi ya dhati ila epuka sana kuanza mahusiano mapya ili tu eti umkomoe mpenzi wa zamani..hakikisha unapona kabisa moyo wako uponye kabisa ili ukianza mahusiano mapya usimkumbuke kabisa yule wa zamani
 
Sisi wanaume huwa hatuna tabia kama za wanyama za kuwaacha tu wapenzi bila sababu lazima kuna kitu ulimfanyia kibaya must
Ni kweli kbs usikutwle huyu kaja kujitetea tu na kujifariji lkn ukweli wote anaujua yeye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…