Mapenzi yanauma jamani

Don't worry DDA wat goes around comes back around and when its comes back z to late,go on with ur lyf don't look back cz wako utamkuta mbele kwa mbele
 

Mwenyewe unaona umetatua matatizo na kujisifu juu
kweli wewe jambazi
 
Tena kijitahidi sana 5yrs kwenye mahusiano kwel.....mm mwanamke ni miez mitatu tu nishampiga kibuti
Kukaa kwa muda mchache na mwanamke na kumpiga kibuti unaona ujanja ehhh......sio sahihi sana
 
pole sana jaribu kujichanganya na marafiki na epuka kukaa alone usikurupuke kutafuta wa kuziba pengo( wakukufariji)utakuja juta tulia na fanya yako kwa ajili ya maendeleo yako usipoteze muda kumfikiria ndege aliye jipeperusha mwenyewe utakonda bure
Umemshauri vyema, epuka sana sana kumtafuta wa haraka kuziba pengo huyo wakumfariji anaweza akampotezaaa na to take advantages, ajikite kuwa busy sana atasahau mapema
 
Kwa hiyo ndio umekuja kusema umu sio?? Sasa wife mpya atakupigia simu tena akueleze ulipokosea!!
By your 5yrs X.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Anatafuta ushauri, situation ambayo inamkabili ni ya hofu, ni lazima atafute ushauri ulitakaje aende wapi....
 
njoo kwangu utamsahau tatizo na nyinyi mnajifanya mnawapenda sana masharobaro
 
Nkupa tatizo lako alipokua a nakwambia hapendi kitu flan ww ulifanya kwa mazoea ukijua huyo ni wako tu hapo ndo mnapo fail ila I pili ulimganda na unajua hakupendi au ulijitongozesha ila hapo I think ni vitabia vyenu vile gubu, kiburi, ubishi, kuongea sana, kuzoeA wanaume ovyo, kutaka muwe sawa ila mwisho kbs labda mwanaume ni mshamba wa wanawake nayo possible
 
Yana-uma au yana-kijiko
Umejiingiza kwenye 18 za watu, pole mama ugulia maumivu kwanza . ila tambua mimi pekee ndo mwanaume mkwel dunia hii , nina cheti cha TBS na ISO kwa ajili ya ukweli uliothibitika.. Fanya kuniPM
 
Me niliombeshwa msamaha😂😂😂😂 by the way unaendeleaje kwa sasa?
 
Tena kijitahidi sana 5yrs kwenye mahusiano kwel.....mm mwanamke ni miez mitatu tu nishampiga kibuti

We nawe huwa unajitahidi miezi mitatu!!???khaaa mnataka mjenge kabisa mi mwenzio wiki tu
 
Time is the best healer of all the wounds.Yatapita tu Wala usijali mkuu.
 
Kwahyo kwakua huyo fala wako mmoja kakuumiza unahisi na wengine tupo kama huyo jamaa ako?
 
This is 2022 I know miss zainab wounds have been healed completely, cheers to your new life
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…