Mapenzi yanaua ubongo wa wanaume.

Upo sawa og poster, na ukisema mapenzi naona unakosea, ni lile tendo la kutoa shahawa mara kwa mara ndio huleta hizi side effects ulozitaja na nyingine nyingi hujazitaja.
Mapenzi yanaweza fanyika pasipo kutoa shahawa, this is the kind of sex that will make u enjoy the pussy whithout kuwa affected na side effects za excessive ejaculation of semen.
Naomba niishie kwa hapa kwa sasa, kwa sababu ni somo/ issue pana sana.
 
kuna kaukweli, but ingependeza mleta uzi angedadavua vema....nnachokiona hapa ni kama kujaribu kuitishia Jinsia Me,...but unapozungumizia MAPENZI, kuna pande mbili....na hii mada imekaa kuelimishana.....haswa wazee wa bao 5 sijui...
 
Utafiti huu umeufanyia chumbani au wapi?
Mapenzi yanahusisha 100% ubongo. Umewahi jiuliza kwanini baada ya kufanya mapenzi unapata usingizi wa ajabu ?

Hii ni kwa sababu ubongo unakua umetumika sana kiasi kutokua na uwezo wa kuuhudumia mwili.

Wanaume ambao hawafanyi mapenzi huwa wanakua na nguvu kiakili kuliko wanao fanya mapenzi

Kutokana na hivyo wanaume wanao fanya mapenzi huzeeka mapema kutokana na ubongo wao kupunguza uwezo wa kuhudumia mwili.

Mapenzi yanachosha akili kuliko mwili.
 
Naweza kuamini kwa sababu nelson Mandela alifungwa miaka 27.it means papuchi alikua haipat Mara kwa Mara na ndio maana ameish miaka ming sana( 95+)

What about Robert Mugabe one might argue?!

Naye hali papuchi??😁😁
 
Upo sawa og poster, na ukisema mapenzi naona unakosea, ni lile tendo la kutoa shahawa mara kwa mara ndio huleta hizi side effects ulozitaja na nyingine nyingi hujazitaja.
Mapenzi yanaweza fanyika pasipo kutoa shahawa, this is the kind of sex that will make u enjoy the pussy whithout kuwa affected na side effects za excessive ejaculation of semen.
Naomba niishie kwa hapa kwa sasa, kwa sababu ni somo/ issue pana sana.
mkuu nawezaje ku enjoy pussy bila kutoa shahawa au katerero hebu hili somo lipatiwe uzi wake tafadhari.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hao ndio wapo kwenye hatari ya kupoteza uwezo wa ubongo

Back
Top Bottom