Mapenzi yanatesa sana

Mapenzi yanatesa sana

Si amuache! Kuna watu wana muda wa kubembeleza aisee😅

Wanawake tuna uwezo mkubwa tu wakupenda tena tunanyenyekea balaa, ujeuri wote pembeni sa huyu sjui vp

Kwani ukiwa na mpenzi lazima utoe kitu ili uexperience penzi? Ameamua tu kutoa kwa mapenzi yake mwenyew huenda alizama kwenye wrong tundu 😂

Kwakweli ni ushamba shem lake😃💃🏽
IMG_20260228_075615.jpg

Unadhani hiki👆🏾 ndiyo kinachomfanya huyo dogo akubali kupelekeshwa kama gari bovu?
 
Ni dhana tu.. sina hakika(huenda)
It's very possible, majority yetu wanaume ukipewa 'extra majamboz' halafu tunapoambiwa hiyo ni special because of how I deeply love you basi huwa nasi tunajihisi 'extra special' and we can't manage to think beyond that 👁️.
 
😹😹😹
Mtu akisema tuachane mwambie akupe cha mwisho mwisho kwanza..!!

Kwahiyo umeachika?
Kila siku nawaambia mapenzi yafanyeni km burudani wala hayatakusumbua..!! Tatizo lenu mnaendekeza hisia..!!
 
It's very possible, majority yetu wanaume ukipewa 'extra majamboz' halafu tunapoambiwa hiyo ni special because of how I deeply love you basi huwa nasi tunajihisi 'extra special' and we can't manage to think beyond that 👁️.
Extra ndio yakoje hayo mkuu?
 
Back
Top Bottom