Rahisi kuongea wandugu! Hakuna anaependa kuumia na kuwa mtumwa na hata kuondokana na utumwa unahitaji nguvu ya ziada, siyo kwa maneno tuu hayo japo ingekuwa rahisi hivyo wengi wasingekuwa wanahangaika. shukuru Mungu tuu pale unapokuwa umefikia hatua ya maamuzi hayo afu ukawa na furaha, kuudanganya moyo wenye mazoea ni kazi sana na huhitaji mda smtz!
Ni hayo tuu!!!