"Mapenzi yanasumbua wajinga"

Sisi wazinzi hua hatujiulizi masuala ya kipumbav kama hayo,sisi ni kutafuta nyuchi na kuifumua tu mambo sijui kupenda namwachia sharukh khan
 
Mkuu tulia naye huyohuyo. Do not compare her with others. Kuna walio na wazuri but wanalia daily
 
100%
 
"Ushauri mzuri, ila mbona kama unakuhusu sana wewe"
 
It all starts in the mind. Mara nyingi a man falls deeply in love in the mind first. Ni pale unapomuona msichana mrembo, mtaratibu, mpole na mwenye sifa zote za kuwa mke.

Then comes those imaginations/dreams of her being ur wife and mother of ur kids someday. Sasa kutokea kwa point hyo unajikuta umeangukia kwake mazima....hali hua ndivyo sivyo unapokuja physically mtupia sound sasa yule binti alaf akachomoa au unakuja pata ambacho huku kitegemea....acha tu inaumiza sana man (i've been thru that naelewa how it feels).

Love is an emotional thing...ili uwe na afya, furaha na amani kamilifu ni muhimu ujiskie kupendwa na kujaliwa na watu wako wa karibu. Sasa love/romance issues ni another department. Watu sio kama ni wajinga/ma fal.a ujue thing is moyo ukishapenda unapenda kweli kweli. Ni ww kuificha sasa huyo mlengwa asijue na kusoma kilichomo ndani, anaweza itumia vibaya na kukuumiza.

Dawa ya kuepusha haya yote ni kutambua namna ya ku tune/control ur mindset way from the beginning. Moyo hupokea configurations toka kichwani. Tehe
 
My life can be happy if I want it happy not otherwise....

Asante
 
the message is very rich mkuu, nimokosa kile kitufe kikubwa cha wewe kupata trophy mkuu ila naomba moderator walifikirie hili wazo langu wakupe mapoint aisee. Nimekupenda bureeeeee
Unajua nimegundua zaidi ya asilimia 90 walishapitia huu ujinga lakin wameshastuka.

wachaga wanasema "NGASTUKA MLEU"
 
Love can be commanded lakini! Ila inahitaji uwe professor kama Kaboom or else u will die by heart attack!
 
Mbona naona kama watu wengi waliochangia hawajawahi kupenda wala kupendwa,.
 
Kama unafikiri akili ndiyo inaamua kupenda bado hujapenda na ipo siku utakuja kupenda ndiyo utajua kupenda nini. Upendo ni msukumo kutoka moyoni wala huwezi kujizuia ndiyo maana anayependa huwa mjinga,. Unapotumia logic utaishi na mtu ambaye moyo wako hauliziki naye na hii huwatokea zaidi wanawake pale wanapotafuta mwanaume mwenye uwezo mzuri wa kiuchumi bila kuusikiliza moyo
 
Kiukweli suluhisho ni kumpenda anayekupenda
Utajuaje kama anakupenda?? maana kuna mtu anaweza akakuonyesha mapenzi, ili kuku zubaza, wew unajua kama unapendwa, kumbe huku anakamchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…