"Mapenzi yanasumbua wajinga"

^^
Ha ha haa! Kwa maelezo hayo, Mimi nakubali kuwa ni mjinga
^^
 
Na unapenda kuendelea kuwa mjinga

^^
Ndio... Mi nafikiri kuna kitu kimoja hukuamua kukiongelea! Inapotokea umempenda mtu huwezi jua unafanya nini au unasema nini! Kwako ni kama u-mauti.. Lakini ukivuka hatua hiyo basi ndio unatambua ulikuwa mjinga! Hapo ndipo unaweza kuja mbele za wenzako ukasema kupenda ni ujinga, vinginevyo, Love at its natural setting is an unconscious experience
^^
 

Hahahahaaa
 
Ndio maana walisema mapenzi ni upofu, Inamaanisha yakiisha ndo mtu unaweza kuona tena.
 
Wajinga endeleeni kuteswa na mapenzi.
 
MAPENZI YNAWASUMBUA WAJINGA


wajanja tumetuliza nje ya box tuna cheki mchezo,wanaotoka ndani ya box mara nyingi hutoka na majonzi,masononeko,majeraha physical/mentally.
 


Ni vizuri pia kusoma hapa: Mapenzi yanauma
 
Penzi kitovu cha uzembe.
Lazima tugutuke na kuacha kulialia bila hata mpango. Leo unalia na kesho unalia haaaah!
 
MAPENZI YNAWASUMBUA WAJINGA


wajanja tumetuliza nje ya box tuna cheki mchezo,wanaotoka ndani ya box mara nyingi hutoka na majonzi,masononeko,majeraha physical/mentally.
Ht me nilishakuwa km ww kilaza mbaya kbs yaani hd kdg nifkuzwe mtaan na balozi ckuwahi kupenda mwanamke wao walinifia n kujitongozesha me nagonga maana nilikuwa HB ila nimekamatika sshv cwez ht kutoka afu mke lenyew baya kila nikilitoa kasoro moyon nilichukie nashindw cjui ashaniloga yaana nalipenda kufa mtu.kweli ndege mjanja hunaswa n tundu bovu
 
Kiukweli suluhisho ni kumpenda anayekupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…