Cynthia Chriss
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 478
- 241
aEbu niambie Cynthia kuna mtu namjua ana shida kama hiyo?
Labda ni list mambo machache ambayo yatasaidia kunielewe (1)I hate food cooked by my patner or food stuff from her when she is in period despite how hygienic she is (2)Immediate washing my body after a shot even if the game is going on (3) Long time mental disturbance (sometimes hard to eat food) after observing bad hygienic condition or unpleasant smell from a person, hospitals/ markets etc (4) I like to live in place with low population, as such streets easly affordable in regions other than DSM I like to live upcountry (5) Sometimes I re wash glasses,cups and plates re clean table b4 use due to cleaness doubt, Here is the list in brief please more guidance
a
I have the same problem hata nikiwa kwenye mzunguko naona kinyaa kuandaa chakula watu wale,huwa sipendi kuwapa wanaume mikono na kwa sababu napenda utani niliowazoea huwa nawaambia sbb kiutani, tunacheka life goes.me hotelini nakula mazingira yanapolazimu sana na juice ya hotelini sinywi kabisaa.
Ila ndugu zangu wakisikia naenda kwao usafi utafanyika na nitajua tu,nafurahi wao wanaelewa hali yangu though sometimes inanicost sana tu.
kuna jamaa yangu anatatizo kama wewe,keshaachana na wasichana wake kibao,wasichana wanasepa kwani hawana cha kufanya wakienda kwake,hata akifuliwa atarudia tu,demu wake akinywa maji,wakati anaipeleka kinywani yeye anafuta maji kwenye kitako cha glasi,demu hata akitoka nje kumwaga take,huku nyuma jamaa anachukua fagio na kufuta alipokaa mwenzie!jamaa anakera kweli kweli,ona wataalamu wa akili watakusadia
Hata me cjui naona kuna mdau ametoa mchango no 4 unaweza kusaidia ,me nshakubali matokeo kusema naringa au nina nyodo hakuathiri nilivyo ingawa kuna wakati me mwenyewe najiuliza maswali kadhaa,mimi hata nguo yyangu haifuliwi na mtu
kaka kuna mawili nenda milembe au jkt kama hupendi hiyo hali mwezi mmoja tu haitorudi tenaOK Lakini kwa sasa mimi ni hali inayonikosesha raha kwa sababu mwisho wa siku unaonekana unaringa au kugombana na watu, nimewahi kumuona Doctor siku moja lakini hakutake serious ujajua madactari wetu TZ hawawi serious mpaka waone mtu kapasuka kichwa ndio maana watu wenye matatizo ya kisaikolojia Tz hawana msaada wa kutosha, sijui nihospitali gani sahihi kwa shida yangu
Usimhukunu, msaidieUr so naive
Wanawake wengi hawapendi wanaume wasafi waliopitiliza, yani nioshe kikombe na wewe uoshe tena mhhh! jirekebishe this time utaachwa wewe.Kamawewe,
(1)I hate food cooked by my patner or food stuff from her when she is in period despite how hygienic she is
-So where do you normally have your meal? and who cooks?
(2)Immediate washing my body after a shot even if the game is going on
- Mmmh that's too much, hivi huwa unapenga makamasi kweli wewe?
(3) Long time mental disturbance (sometimes hard to eat food) after observing bad hygienic condition or unpleasant smell from a person, hospitals/ markets etc
- I guess you should then find a little world of your own...hii kinyaa imepitiliza atii mkuu
(4) I like to live in place with low population, as such streets easly affordable in regions other than DSM I like to live upcountry
- Tafuta au jenga nyumba huko, think that can be done uunh!
(5) Sometimes I re wash glasses,cups and plates re clean table b4 use due to cleaness doubt.
-If you do all that, why putting all the blames on em girls. I think washing em dishes and stuff is way of doing a little bit favor to urself
Kwanza pole kwa kuwa sensitive sana kwenye mambo ya usafi, !!!nadhani umekulia na kuishi kwenye familia yenye uwezo mkubwa kifedha , ambayo ina element za kiselfish , usually hii scenario ina exist ili kutofautisha kati ya watoto mambo safi na choka mbaya, (kind of ubaguzi fulan hivi)na hayo unayosema yalikuwa attached kwako kwa kuwa hukupata life diversity yoyote . Usingeanzisha thread hii kama wewe ni mwenzangu na mimi umekulia kijijini maji ya kisima ,sabuni majani ya mpapai n.k
Unapata tabu kupata mtu wa kuwa naye kwa sababu fikra zako zinadhani kila unayekutana naye basi ameishi na kukulia mazingira kama yako , yes unaweza kumpata patner wa aina yako, lakini probabilty ni ndogo sana kwa ninavyojua! Wengi wa unaosema wanakushinda jua ni watu waliokulia makuzi ya kawaida sana na hawakuwa na means za kuufanya usafi kwa exreme unazotaka.
You need to tune yourself big boy !! Usijiendekeze ! Jiulize ukiumwa ukapewa kitanda muhimbili utakataa ka sababu ya hygenic ?The more sensitive the more vulnerable!
Thanx mkuu kwa ushauri ingawa ninapenda ujue nimekulia familia ya kawaida na ninapenda ujue nimeishi kijijini tangu kuzaliwa hadi nilipokuwa na miaka kumi na mbili hizo shida nimepitia na hata siku hizi nikienda ninajaribu kuishi village life ingawa vijiji siku hizi vina huduma nyingi kukiko zamani lakini kiukweli nikienda ninapata shida kwa mambo niliyoyaongelea