Mapenzi yanapokuwa uchafu

Kamawewe

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
537
Reaction score
526
Habari wana JF, ninaomba ufafanuzi au ushauri wa hali ninayokuwa nayo katika maisha yangu ya kimahusiano,kifupi mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na nina Mwenza. Kabla ya Mwenza niliyenaye nilikuwa na mpenzi ambaye chanzo kikubwa cha kutengana ni kwamba Mimi nilikuwa mara kwa mara ninamueleza kwamba anafanya mambo ambayo ninaona ni uchafu katika maisha ya kila siku wakati mwingine ninapata hadi kichefuchefu, lakini Yeye amekuwa akinilaumu kuwa ninazingatia usafi kwa kiasi kilichopitiliza hiyo hali ilienda hadi tukatengana.

Kama miaka miwili iliyopita nikawa nimeanzisha uhusiano na Mwanamke Mwingine niliyenaye sasa lakini tatizo lile lile limejitokeza, hapa sasa nikaamua kuwauliza rafiki,ndugu na wafanyakazi wenzangu kujua ukweli juu yangu, nilijisikia vibaya pale karibu wote waliponiambia wanavyoone ni kweli tena wangine wananiogopa katika mazingira fulani kwa kuwa ninawaona hawawezi kufanya usafi na mpangilio wa vitu kikamilifu, hapa ninaongelea zaidi nyumbani au ofisini ndugu au wasaidizi mbalimbali wa nyumbali na ofisini, ata my college mates walinithibitishia hilo.

Wana JF hebu nisaidieni hii hali inasababishwa na nin ina njia gani za kuipunguza? maana kwa study niliyoifanya ni kweli nina tatizo linaloathiri uhusiano wangu na wanajamii hasa kimapenzi.
 
Hilo. Tatizo uliokua nalo ni kubwa kweli,,

Naomba nikuulize

Ukitaka kunywa maji kabla ya kukitumia kikombe je hua unakisuuza tena japo ni kisafi???

Swali la pili

Je ukikutana na mtu alaf mkasalimiana mikononi je huoni raha mpaka ukanawe. Mkono wako, tena na dettol??
 
Hebu tusaidie kuandika lists za aina mbili, moja iwe ni ile ya mambo wewe wayaona ni uchafu na nyingine yale ambayo kwayo wayaona ni usafi...

Hapa hata mimi atanisaidia kumuelewa vyema!
 
Watu wa aina yako Wapo ila hujaweka ni uchafu gani! Ila kwa ufupi mapenzi ni uchafu vitu kama romance na kunyonyana mpaka kunako inataka ujasiri
Na kama ni usafi wa kawaida tu uliopitiliza hilo nalo ni tatizo kubwa hutaweza kuishi na mwanamke yeyote,
 
Yaani unaongea kitu ambacho huwa ninakifanya kuosha kikommbe mwenyewe na kunawa mikono baada ya salamu lakini ni kwa baadhi ya watu ambao ninaona si wasafi kikamilifu
 
Sasa ukiambiwa uzame chumvini si ndio utakufa kabisa? pole ila hilo ni tatizo. Waone madaktari wa sychology
 
Labda ni list mambo machache ambayo yatasaidia kunielewe (1)I hate food cooked by my patner or food stuff from her when she is in period despite how hygienic she is (2)Immediate washing my body after a shot even if the game is going on (3) Long time mental disturbance (sometimes hard to eat food) after observing bad hygienic condition or unpleasant smell from a person, hospitals/ markets etc (4) I like to live in place with low population, as such streets easly affordable in regions other than DSM I like to live upcountry (5) Sometimes I re wash glasses,cups and plates re clean table b4 use due to cleaness doubt, Here is the list in brief please more guidance
Hebu tusaidie kuandika lists za aina mbili, moja iwe ni ile ya mambo wewe wayaona ni uchafu na nyingine yale ambayo kwayo wayaona ni usafi...
 
Mkuu King Kong tangu nijue kinachotokea katika maisha yangu ya kila siku ni kufanya mambo yanayonikwaza ili nisionekane wa kujisikia hasa ninapoenda sehemu ambayo watu nirahisi kuhisi ninawanyanyapaa kama vijijini kwetu au sehemu nyingine
Nyie mtaani kwetu tunawaita "DON TACHI"
 
Ur so naive
 
Nafikilia unatakiwa uji twist tu kulingana na mazingira! Huo usafi unaoutaka upo ulaya otherwise utakimbiwa na Kila Mtu mazingira hayaruhusu hata Kama watu wanapenda usafi!! Cha msingi jenga tabia ya kudharau ukinyaa na kuona ni kawaida tu
 
Shukran mkuu kwa ushauri
Nafikilia unatakiwa uji twist tu kulingana na mazingira! Huo usafi unaoutaka upo ulaya otherwise utakimbiwa na Kila Mtu mazingira hayaruhusu hata Kama watu wanapenda usafi!! Cha msingi jenga tabia ya kudharau ukinyaa na kuona ni kawaida tu
 

I bet, kwa mtindo huu, utakufa mapema sana unless uko fit kifedha kwamba unaweza kupanga jambo lolote unalotaka japo itakugharimu sana.
 
Kamawewe,

(1)I hate food cooked by my patner or food stuff from her when she is in period despite how hygienic she is

-So where do you normally have your meal? and who cooks?

(2)Immediate washing my body after a shot even if the game is going on

- Mmmh that's too much, hivi huwa unapenga makamasi kweli wewe?

(3) Long time mental disturbance (sometimes hard to eat food) after observing bad hygienic condition or unpleasant smell from a person, hospitals/ markets etc

- I guess you should then find a little world of your own...hii kinyaa imepitiliza atii mkuu

(4) I like to live in place with low population, as such streets easly affordable in regions other than DSM I like to live upcountry

- Tafuta au jenga nyumba huko, think that can be done uunh!

(5) Sometimes I re wash glasses,cups and plates re clean table b4 use due to cleaness doubt.

-If you do all that, why putting all the blames on em girls. I think washing em dishes and stuff is way of doing a little bit favor to urself
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…