G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,516
- 40,048
Na hapo mimi ndo timu yangu imeshinda sasa mbona ntampa kwa nguvu tena akizingua hata kinguonguo mpaka anyegeke
Hapo kwa kinguonguo mbona sijakupata? Honestly Arsenal ikifungwa hadi kazini nashindwa kuwa active na wanalijua hilo..Home ndo usiseme kabisaaaaaaa..ile gemu ya Chelsea kilichotokea najua mwenyewe!