Mapenzi yananitesa

Mapenzi yananitesa

Niambie kwa uwazi tu mbona ntayapokea yote tu.
 
asante sana,ishu sio kwamba yeye ana matatizo,tulipeana time ya kuzoeana sasa ndani ya hicho kipindi yametokea mengi sana ila kiujumla wake she is wife material.Tatizo ni tunapishana common interests basi lkn vingine vyote tupo ok ingawa kila kitu amekuwa anasacrifice kufuata interests zangu mi naona kama siko fair kwake

yo too general wewe weka wazi ni vitu gani hamuendani watu wana ujuzi wa kukusaidia hujui jf ni zaidi ya darasa??
 
Baada ya kuzunguka huku na kule nilifanikiwa kupata msichana kupitia forum hii ya love connect ofcoz ni msichana mzuri sana na yupo serious na mahusiano tatizo ni kwamba nahisi kama namuonea sababu kuna vitu vingi sana tupo tofauti ila yeye kila mara amekuwa anajitahidi kufuata upande wangu.Nataka kuachana naye lakini siwezi coz hajanikosea chochote halafu na upole wake nafsi inakataa ila tatizo ni kwamba vitu vingi hatuendani.

Naombeni ushauri.

sidhani kama kipo cha kukushauri coz hujawa muwazi kuzianika ili upate ushauri wa jumla kutoka kwa wadau.
 
Back
Top Bottom