Mapenzi yananitesa

Mapenzi yananitesa

Tungekuwa na kolabo ya ajabu, wangeona mambo ya ajabu hata ya ISIS nafuu.

Wanakera sana hawa watu.

Yaani tunahakikisha likitoka balaa hili linakuja lingine zitooo, yaani kufa hawafi ila cha moto wanakiona na hata wakijaribu kujiua hawafi.
 
Yaani tunahakikisha likitoka balaa hili linakuja lingine zitooo, yaani kufa hawafi ila cha moto wanakiona na hata wakijaribu kujiua hawafi.

Yaani we acha tu, hawa viumbe hawa, mim huwa nikiwafikiria wakati fulani hata kama nimechukia najikuta nacheka kwa chuki kuu.
 
kwani mlifunga ndoa ipi? au mlitunguana? unajua ulipo dhaifu yeye ndo ananguvu, na alipo dhaifu wewe ndo unanguvu. unaonekana ni mchafuz na malaya tu wewe.

nakuamuru kama hamjafunga ndoa na hamna mtoto, mwache huyo dada haraka sana ili akampate aliyekusudiwa nae. na ufanye haraka kabla cjakuombea mungu akupige kwa jina la YESU KRISTO.

mnakurupuka na kuwapotezea muda mabinti na kuvuruga maono yao.
HAPO NIMEKUKEMEA KAMA MCHUNGAJI.
 
Yani mtoa mada ushazoea purukushan shda tuu na makelele hapo ushayamiss(joking)anyway kaa fikiria kwa kina sana ndo ufanye uamuzi
 
Ndio hata wewe, maana unatuletea majanga yaliyokukuta tu husemi majanga uliyoyasababisha, wakati what goes around........, teh teh teh teh

Basi hujasoma kote!
 
Baada ya kuzunguka huku na kule nilifanikiwa kupata msichana kupitia forum hii ya love connect ofcoz ni msichana mzuri sana na yupo serious na mahusiano tatizo ni kwamba nahisi kama namuonea sababu kuna vitu vingi sana tupo tofauti ila yeye kila mara amekuwa anajitahidi kufuata upande wangu.Nataka kuachana naye lakini siwezi coz hajanikosea chochote halafu na upole wake nafsi inakataa ila tatizo ni kwamba vitu vingi hatuendani.

Naombeni ushauri.

Kama ni mvumilivu,mnasikilizana each 2other,anajitambua, na upendo wa dhati,mvumilie tu,pia omba Mungu atambadilisha pole pole.

Mi nilitoa thread,cha ajabu wanajitokeza walio na watoto(tayari wamezaa na wanaume wengine),utata mtupu!
 
Kama ni mvumilivu,mnasikilizana each 2other,anajitambua, na upendo wa dhati,mvumilie tu,pia omba Mungu atambadilisha pole pole.

Mi nilitoa thread,cha ajabu wanajitokeza walio na watoto(tayari wamezaa na wanaume wengine),utata mtupu!


asante sana,ishu sio kwamba yeye ana matatizo,tulipeana time ya kuzoeana sasa ndani ya hicho kipindi yametokea mengi sana ila kiujumla wake she is wife material.Tatizo ni tunapishana common interests basi lkn vingine vyote tupo ok ingawa kila kitu amekuwa anasacrifice kufuata interests zangu mi naona kama siko fair kwake
 
Huyu anatetewa, mimi naonekana nimeumizwa mie! Huwezi mchukia mtu hivyo kwa stori za kuambiwa...am no kid Apologise lady & atoto


  • Hahahahahaha!!!!!!!!!! kha!!!!!! mmmh!!!!! weeee nawe loh!!!!! kumchokonoa gani mtu huko????????????????????aaaaaaaaaah!!!!!!!!!!nimeumizwa nyang'anyang'a napumulia icu hapa nilipo.
 
Back
Top Bottom