Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
ishu sio kumega,madem wa kumega wapo kila kona,huyu nipo naye more than a year rejea post yangu ya kutafuta mchumba
Ingekuwa ishu sio kumega hayo matofauti ungeyaona kabla hamjaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi! Hamkuwa na muda wa urafiki!???