Mapenzi yananitesa sana

Asante sana mdada chukua like yangu
 
Reactions: G3T
Itakuwa alikuwa anakupiga show ya maana , anyway uwe unampa Mara moja moja huku ukiendelea kumsahau.
 
Pole sana yanatokea sana ila nanyi munapopendwa munashindwa kujielewa...mashauz mengi sana
 
Pole sana yanatokea sana ila nanyi munapopendwa munashindwa kujielewa...mashauz mengi sana

Hata nyie huwa hamjielewi kabisa. Mnapopendwa mnaleta kiburi kuwa wanawake tuko wengi. Endeleeni na uhuni mtaona mwisho wake. Poleni. Na sisi wanawake tunasema kuteseka sasa basi. "HATUNA SHIDA"
 
Jianaume unalipenda kuliko kitu kingine hapa duniani lakini bado litakuwa na michepuko kibao. Unarisk unasafiri kilometa kibao unalifuata huko liliko lakini bado halioni umuhimu wako. Choka kabisa mimi. Alafu wewe unalia lilia hapa. Kata mti panda mti. Utampata mwanaume mwingine had utasahau dunia wewe.
 
Pole sana mkuu, kuna jamaa amekuanzishia uzi kwamba unajitongizesha kwake....
Ebu ukuje ujibu hizi tuhuma tafadhali
Swahibu sikujua kama u mchokozi kiasi hiki[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Swahibu sikujua kama u mchokozi kiasi hiki[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna lijamaa moja limenichefua sana siku yangu haki, kwani mdada kujitongozesha ni jambo la ajabu....[emoji45] [emoji45]
Yaani anaandika upuuzi utadhani hana mama, dada, shangazi nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…