Mapenzi yananitesa sana

Last edited by a moderator:
Pole Maho... Hiyo kitu wengi ilishatukumbuka swala na linawaathiri wengi sana kisaikolojia. Unahitaji msaada wa karibu, naamini ukiyapokea mawosia ya wenye hekima utaponyeka ktk hilo.
 

dada una tatizo... na usipoangalia ni tatizo la kuhitaji tiba, hiyo obsession uliyonayo sio yenyewe kabisa
 
Pole Maho... Hiyo kitu wengi ilishatukumbuka swala na linawaathiri wengi sana kisaikolojia. Unahitaji msaada wa karibu, naamini ukiyapokea mawosia ya wenye hekima utaponyeka ktk hilo.
nashukuru xana kaka
 

Hana atari Sana'a huyu nduguu ilaaa mungu amsaidiee apatee mwingine mwenye vitu adimu kuliko huyoo wa Mwanzo asiyesaulikaa
 
Malaya ni nani hapo sasa? Sijaelewa. Ila nitarudi kwenye inbox yako
 
Jtaid sana kukmbka mabaya alokufnyia i itakusaidia kumsahau,pia irusu akil yko kumsahau ucjiwekee kusema huwez msahau kumsahau cha mcng n ku kurusu akil yko imsau mana two year n paref alaf kw boys lazma atakua keshakua na wengne,kama kbla tu akat upo nae alikua nao je baada ya mda wote uo unatgmea nin?kila kitu knawezkna amna knachoshndkana n wew tu kuamua mana hta ukirudiana nae u wl suffer since hajawah kutafta kw mda wote uo dnt force lov itakupa shda mbele,mpende akupendae ukitoa mawzo yke itakua rahis ww kumsau lakn ukiwa una mfkria itakupa shda na kukpotzea mda mana unamuwza mtu ambye hna time nawe,ukiamua kla ktu knawezkna xo make a wise decision mpotezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
kwa kuwa ni kipindi cha kwaresma, na yesu aliteswa kwa ajili ya shambi zetu, basi na wewe wacha uteseke kwa mapenzi yetu. ala imekwisha sasa ni usiku.

dah umenigusa.....nilipigwa kibuti ijumaa kuu aisee.....wacha nilie ...nikasema leo nateseka na Yesu....nikamwambia Yesu naomba ubebe mateso yangu kwenye msalaba wako....sitaki kuteseka tena kisa mapenzi......yani mpaka leo siteseki kisa mapenzi....naimani Yesu alibeba kibuti changu pale msalabani......
 
Siku zote amini....anayekuumiza ktk mapenzi ndio huyo huyo atakaekupoza maumivu hayo
 
mdada mie sijui imani yako lakini omba Mungu akupe amani, furaha, faraja, utulivu, upendo na uvumilivu ndani ya moyo wako......na pia mwombe akutolee huzuni ,majonzi, akufute machozi, manung'uniko na masikitiko ndani ya moyo wako......
 
nmekuelew kaka sumbai shukrani xna
 
Jibu hapo ni rahisi...hujapata aliyemzidi, i tell you ukimpata tu,and ofcoz utampata...mwenyewe utajishangaa!!!

Lakin kabla hajafika huko, jiulize nn chanzo cha nyie kuachana?? Na ni kwa mda gan??? Maana unaeza ukarudisha majeshi ikala kwako...
Of coz nahic ni sababu cion wakumlinganisha nae , na the reason n kwamb ni kunisemea vibaya kwa x gel frendi wake na hii ilionesh bad anatak kumdate thaz y mi nikaondoka without saying byee but Bat hakunitafuta may b tuwe together kwa Mara nyingine tena thaz y
 
Polee. If I were you, ningekuwa na focus on his bad attributes. Kila nikimkumbuka namkandia kimoyomoyo.....siangalii faida naangalia hasara tu. Kama vile najaribu kumchukia yani....

Mwisho wa siku ubongo utaona hamna la maana kwa huyu mtu....atajisepesha mwenyewe kichwani na moyoni.
 
Nimeanzisha uzi wa walioacha na kuacha wakutane huko wafarijiane na kupeana ushaiur,utafute uone watu walivyo solve ishu zao kirais na mpaka sasa wapo freee.....
Karibu sana
 
Siyo kwamba cjafanya hivo lahasha but tatiz no soul imagine ni two years nou
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…