Mapenzi yananitesa sana

Hivi si umeoa wewe?

Si kuna uzi ulikua unamtafutia mkeo tiba ya kuumwa kichwa wewe?

Unahitaji msaada mkuu.
 
Pole, kuwa na mwanamke wa type yako
 
Mara ya mwisho kuteswa na mapenzi ilikuwa 2017 tena x wangu mmoja aliyeniacha kwa dharau na kejeli Leo kanipigia anadai siku hizi naringa sana na yupo kwenye ndoa ila analalamika simtafuti hata kumsalimia tu baada ya juhudi zake kugonga mwamba ila pole mkuu wanawake ndio walivyo hawajui wanataka nini.
 
Siyo wanawake Tu hat wanaume pia🤗
 
Mke wa mtututututu sumu
Kwenye jambo la mtututututu kaa mbali×2
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…