Mapenzi yananitesa sana

Kaa chini ujitafakari itakuwa kuna mahali unakosea na hao wanawake wankuwa n wew Kwa ajili unawap pesa lkn likj swal la ndoa hawataki itakuwa kun mhli unkosea
 
Kaa chini ujitafakari itakuwa kuna mahali unakosea na hao wanawake wankuwa n wew Kwa ajili unawap pesa lkn likj swal la ndoa hawataki itakuwa kun mhli unkosea
Nime tafakari sana nashindwa kuelewa wapi na kosea ndugu yangu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana hauna malengo binafsi katika maisha. You are weak. Grow up be like alpha male. Unasumbuliwa na utoto in your early 30's
 
Achana na mapenzi wekeza nguvu zako kwenye ishu zingine.Fanya hata kilimo Cha tikitimaji.

Mapenzi hayakuumbiwa kila mtu.
 
Jipe mda kwanza wa kuwa peke yako..jiulize shida inaanzia wapi???kwanini wakatae wote???na ukiweza waulize y hawataki lzm kun sababu
 
Jipe mda kwanza wa kuwa peke yako..jiulize shida inaanzia wapi???kwanini wakatae wote???na ukiweza waulize y hawataki lzm kun sababu
Aachane na ndoa na mapenzi yenyewe kwani kila mtu kaoa duniani humu?
 
Komaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…