DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,099
Ni kweli mkuu. Kampata mwenye umbo kubwa mfukoni.Thats right brother. Atakuja mwenyewe tena kwa magoti. Nawafaham hawa viumbe meku. Apambane.. namuhakikishia huyo malaya atarud tu
Ukilazimisha mapenzi utapata tabu sana. Mwondoe moyoni and move on.Au pengine na waza anataka anione niko intereste sana kwake yani amejua nampenda sana pengine? Lakini nashukuru pia kwa ushauri naweza pakuanzia mkuu
Ukilazimisha mapenzi utapata tabu sana. Mwondoe moyoni and move on.
Kama ulitaka aje kuwa mkeo umeshamsoma rangi yake halisi.
Ni wanawake wachache sana wasio na pesa huweza kuwa na mwanaume wa type yako. Shida ni mfuko mtupu wala sio umbo.
Sura inavumiliwa mkuu kama una mkwanja.
Hapo akikutania tu "baby nikwambie kitu?" Roho inakuruka maana unajua akikuomba hela ya saloon huna. Wakati huo huo kuna mtu anampa hela bila kuomba.
Mkuu pambana na hali yako kiuchumi. Hawa watu watakugombania sana tu.
Ndio Ema songa mbele selfrespect ni muhimuAsante mkuu mimi Emmanuel nasonga mbele
Nasema tena Mimi Emmanuel nimekubali kuachika, kwa msaada wenu wa mawazo mimi sio wakwanza wala sitokua wa mwisho Mungu anisaidie kwenye mambo yangu nitakayokuwa nayo busyMkuu pole sana ukiachwa achika mwache aende tu utakuja msahau Mungu kaumba kusahau kuwa busy tu na mambo yako
Asante mkuu na Mungu atakusaidia futa kila kitu chake huwezi jua Mungu anakuepusha na nini kwa huyo mwanamkeNasema tena Mimi Emmanuel nimekubali kuachika, kwa msaada wenu wa mawazo mimi sio wakwanza wala sitokua wa mwisho Mungu anisaidie kwenye mambo yangu nitakayokuwa nayo busy
Mwanamke anapokuambia kuwa wewe si type yake kuna mambo mengi lakini kubwa sana ni huna pesa za kumlea akaridhika. Achana nae huyo tafuta pesa nidhamu itakuja yenyeweHakukuwa na chochote kikubwa narudia tena hakukuwa na chochote! Ila tu siku hiyo aliacha kupokea simu zangu mpaka kesho ndo katika kumuuliza akanirushia hilo Bomu