Mapenzi yananitesa, bora nife tu

Dungamawe una shida kichwani watu wanapambana na maisha wewe unapambania Ashura?
 
Hebu weka picha ya huyo Ashura tumtathimini ili tuone kama ana vigezo vya kusababisha mtu kujidhuru kwa ajili yake. Usije ukawa unataka kujidhuru kwa sababu ya nungayembe Ashura. Nitakushangaa sana.
 
Una kanuni gani kwani shemeji yangu?
Mwanamke nilazima amtii mwanaume wake, na utii umebeba taswira kubwa sana ambayo ni uvumilivu unao tokana na upendo.
Shemeji, minaamini kwamba..... mwanaume anapaswa kuishi na mwanamke kwa akili, then ataweka mipango/taratibu na sheria ambazo kazi ya mwanamke itakua niku lain yote yanayo toka kwa mwanaume wake.
Na kiasili, hakuna mwanamke anaeweza kukubali kuishi na kumtii mwanaume ambae hana akili.
 
Pumzika kwa amani Kamanda. Dunia ndivyo ilivyo. Wakati wewe unaumizwa na huyo Ashura wako, kuna mwenzako ndiyo kwanza ameanza kufurahia penzi lake changa na Ashura huyo huyo.
 
Acha ujinga we jamaa, Kwa hiyo unataka ufe ili umpe mwanya Ashura ale good time na kaka Yako?
We achana naye tafuta maisha mengine
 
Acha
Acha upumbavu wewe ujiue kisa mbususu tu.

Tafuta pesa achana na Ashura kwenye pesa kuna mwanamke wa kila aina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…