Mapenzi yananitesa, bora nife tu

Swali la msingi:
UMRI WAKO MDOGO ETU...

Acha ufala dogo ufe kisa MBUSUSU be strong after this you will be fine & strong 💪
 
Haaahha Blaza,kwahiyo ulitegemea mwanamke akulipe wema kama ulivyomtendea wewe?hebu acha madihara..huu ni msimu wa maembe,nunua maembe tako tengeneza juice unywe u Enjoy..acha kulalamika na mambo ya ajabu
 
Pole sana mkuu japo kuna watoto humu wanaleta mzaha .mungu ukutie nguvu jaribu kusali sana washilikishe watumishi wa masheshe na wachungali .hayo ni Mapito tu
 
Nani kakuambia hiyo mbingu inahtaji watu legelege.
 
Mkiambiwa kuoa mwanamke sio bikira ni sawa na kuoa mke wa mtu mnashupaza shingo.


Na bado..
 
Jaman unatesekaje wakati watu bado wapooo? Tafuta mtu mwingine utapata wa kukujali
 
Hivyo vitu unavyoweka sawa vinahitajika huko uendako?. We nenda tu mkuu, huku vitu vitajiweka sawa ukishaondoka.
Tatizo ninaotaka kuwaacha bdo sjawawekea mazingira sawa
 
DungaMawe ukiwa umeona unataka kufa kwa ridhaa yako usinywe sumu nahitaji kuwa na pesa nyingi kusanya mtaani kwenu wote mnaotaka kufa kwa ridhaa yenu kisa mapenzi ,maisha, ni tag tu nije niwasiadie kufa mapema haichukui muda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…