Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,475
- 4,554
Una kaupunguone kichwani ujue 🤣Nimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.
Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.
Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.
Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.
Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.
Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.
Tatizo moyo hautaki kusukuma damu na macho hayana paziaUna kaupunguone kichwani ujue 🤣
Hawa wanawake wa mkorogo siku hizi , kucha bandia nywele bandia wavaa vimini na gauni tight
Ili uone maungo yao ya ukahaba wakiwa wanajiuza live
Aaaah bhana siyo tu umefirisika mali yaani akili yako washaifirisi 🤣🤣🤣🤪🤪
Tatizo kubwa sana mwanaume anapoziruhusu hisia kuwa juu zaidi ya akili zakeTatizo moyo hautaki kusukuma damu na macho hayana pazia
We una wake wangapi na watoto wangapi?Tatizo kubwa sana mwanaume anapoziruhusu hisia kuwa juu zaidi ya akili zake
Tofauti yetu me na ke ni kuwa mwanaume anatumia akili sana kuliko hisia na ke anatumia sana hisia kuliko akili
Macho hayana pazia moyo usiusingizie kazi yake kusukuma damu inakuwaje hisia ziwe zaidi ya akili?
Mwanaume hufukiri kabla ya kutenda mwanamke hutenda ndiyo anafikiri
Wewe ushaleft group bro huwezi pata majuto baada ya kusasamba fedha zako 🤣
Akili sijui nikwambie tu 😂 liwalo na liwe
Huna akili
🤣🤣
Mwite na Mwombe YesuNimekuwa ni mtu wa kutamani wadada wazuri wa hapa duniani.
Ikitokea nimekutana na mdada mzuri mwenye vitu vyangu na kumuelewa, nitatumia kila njia niwe naye.
Mbaya zaidi si kutoka naye mara moja, bali kutamani kabisa kuweka kambi naye.
Hii imenipelekea wao kutamani vitu vizuri, na kunipelekea mimi kuingia gharama.
Natamani niachane nao, lakini moyo unakataa kabisa kwa sababu umependa.
Kwa hiyo wakuu, wakinifilisi mpaka hela ya bando nitawaomba mnichangie.
Sasa itakusaidia nn kakaWe una wake wangapi na watoto wangapi?
Kwa wastani unatakiwa uwe na wake 7 na watoto 14Sasa itakusaidia nn kaka
Alafu itakuwaje?Mwite na Mwombe Yesu
akuokoe kutoka tamaa za mwili upate akiliAlafu itakuwaje?
Kwa hiyo wewe unao wangapi tuseme walokufirisiKwa wastani unatakiwa uwe na wake 7 na watoto 14