Mapenzi yananifilisi

ndiyo ukubwa huo.
 
Muumbe mmoja mwenye sifa zote unazotaka na uanze kuishi naye

Bwana Elon Musk anayauza hayo majitu ya kuunda kwa shilingi milioni 6.5 tu za Tanzania

Anyway, jitahidi uoe Mkuu. Maisha ya sasa ni gharama mno kuwa na wapenzi wengi
 
Usijali mwanangu hiyo ni hali ya kawaida wwe wapelekee moto . Kikubwa linda afya tu ili siku moto ukizima wasikuache ukiwa na magonjwa. Ukifilisika ukiwa na afya akili ya kutafuta pesa nyingine utakuwa nayo. Lakini baada ya hapo utakuja kuwa tajiri maana utakuwa ya duniani umesha ya maliza kwahiyo utafocus na mambo ya kusaka pesa tu. Kila laheri katika issue za kusaka pisi kali
 
Mimi na dedicated wimbo wa KOMAA NAO_EAST COAST TEAM

Usindikize huu uziii 😁
 
Muumbe mmoja mwenye sifa zote unazotaka na uanze kuishi naye

Bwana Elon Musk anayauza hayo majitu ya kuunda kwa shilingi milioni 6.5 tu za Tanzania

Anyway, jitahidi uoe Mkuu. Maisha ya sasa ni gharama mno kuwa na wapenzi wengi
Gharama kubwa sana, mara matumizi ya kula, saluni, kodi ya nyumba
 
Ushauri naupokea kwa mikono miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…