Mapenzi yamoto. Mapenzi ya kitoto siwezi

Mapenzi yamoto. Mapenzi ya kitoto siwezi

Haziko sawa

Yes , haziwezi kuwa sawa sababu mmoja kaumiza kichwa mwingine kaja kuiba beats na kuongeza maneno ya Kiswahili bila hata kushukuru period.

Afadhali basi Dully Sykes mwishoni huwa anashukuru kwa kumtaja jina Ngiam Makanda Werrason.

Unaonekana ni mgeni kwenye hii fani, kugandamizia huku hakukuanza leo , ilikuwepo toka Enzi za zamani, toka Enzi za "Naomba Nipate Nafasi" au " Likokolo Nakokufa" ya Rocherau.

Hutaki unaacha, lakini habari ndiyo hiyo. Mbona zipo nyingi sana, na wote wanajua. Au kwa sababu miziki ya kikongo ya siku hizi haipigwi kwenye TVs na FM Radio zetu unafikiri kule DRC kumelala.

Kama unataka tutazitaja zote za kugandamizia hapa.
 
Mkubwa na wanawe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom