Mapenzi yamenitesa nasema sasa basi

Pole mkuu,nikiona mtu anaumia kwenye mapenzi simchukuli poa, maana watu wachache sana tunapenda toka moyoni
 
Huko vijijini ndiyo usije jaribu,mwanamke unaemtoa kijijini umlete mjini akapendekeza akaanza kuujua mjini na chocho zake na akaanza ujuaji hadi kwa wanaume utaumia sana mapenzi haya formula
 
Umeanza vizuri sana umeshindwa kufunga tu goli
 
Mapenzi hisia

Tikisa kichwa kidogo.
 
Penzi linalouma ni lile ulilowekeza muda na pesa,kama jamaa anavyosema kuwa demu wangu niliempangia nyumba
 
Tafuta lishamkupe ulitomb kwa hasira
Si kasema alikaa na beki 3 guest siku 3, tena beki 3 asiye mfahamu, yaani mtu unaweza jiletea maradhi kwenye ndoa yako halafu mkaanza kulaumiana. Ujinga tu.
 
Pole shukuru Mungu kakuepusha na matatizo pengine alikuwa nakuzibia rizikizako nyingine
 
No one cares. Fix it yourself. Here’s how:

– Wake up earlier.
– Move your body daily.
– Cut out people who drain you.
– Learn a skill that makes money.
– Write down a plan and work it daily.

Silence the noise. Build in private.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…