Mapenzi yamenitesa nasema sasa basi

Kudeal na mtu mzima mwenzako ni kazi ya kujitoa muhanga. Poole sana mkuu
 
Nafikiria kuanzisha darasa, watu walioumizwa, wanateseka na mapenzi etc.. jinsi ya kupona maumivu, kujicontrol na kumove one.

Maana visa hivi vimeouwa vingi, vingi mnooo
 
Usirudie kosa hukuwa na sababu yakumpangishia nyumba mtu kama una nia naye ,ungemvuta aje kwako muwe mume na mke akiondoka hapo SAWA,usiwekeze sana Kwa mwanamke unayetaka kuoa akiwa kwao au anakaa peke yake. Next time ukipata usitpoteze muda naye mwambie live njoo tuishi wote hawezi huyo atakupiga tukio
 
haya kina dada jimbo liko wazi ingawa mtakuwa na kazi ya kuponya majeraha yake ya mapenzi..
Kuponya majeraha ya mtu aliesalitiwa n kazi mm nmeachana na mtu wa hvyo kabisa yaan we mtu alisalitiwa , kumponya huwez mpaka ajiponue mwenyewe
 
Pole mkuu Mimi nilshapitia hio hali kama wewe nikajifunza kupitia hayo mambo kwanza mwanamke huwa hasomeki na pili usiwekeze sana kwa mwAnamke mda wowote si wako hebu fikiria kwanza ulipokutana nae ulimkuta na bikira? Pili huyo mwanamke mmekutana ukubwani sio ndugu. Yako na humjui sasa unawezaje ukamwamini kupenda penda kumepitwa na wakati wanawake wa sasa wamejaa tamaa na kupenda maisha ya anasa
 
Wakiume ww, kazq mkanda. Shukuru Mungu funga kurasa , amka jikung’ute vumbi Mungu atakupa mwingine

Mean while kwa sasa focus kwenye mambo yako na kazi zako
 
Pole sana, ila siku nyingine usibebe majukumu ya kama mume kwa mwanamke ambae sio mke wako.
 
Hili sio la wanawake tu, hata wanaume wapo sana wanao watesa wanawake, tena wengine unakuta ni mkewe kabisa, wanaanza vizuri lakini MUNGU akiwabariki au wengine labda kaongeza elimu yake huyu mke ambaye alikuwa naye anamuona hafai na halingani na elimu alionayo yeye, hivyo mambo haya yapo pande zote, ukimpata wakufanana naye mshukuru MUNGU sana.
 
Nawewe unampangiaje mtu? Kwanini usingemuoa kabisa muwe pamoja? Si ajabu nawewe kuna binti ulimnyanyapaa ukampenda huyo, mwache aende wewe tuliza kichwa chako hicho kidogo usikurupuke kutafuta utaangukia pia na jino la mbele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…