Mapenzi yamenitesa nasema sasa basi

Tangu nilipoamua kuyaweka kando mapenzi na masuala ya kuhusiana kwenye medula oblangata yangu......na nafasi yake ikachukuliwa na...mazoezi ya mwili, kula vizuri, kuvaa vizuri.....kuelekaeza nguvu zangu kwenye kujenga uchumi wangu......kuwa karibu na wapendwa wangu......nimeyaona mabadiliko chanya kwenye maisha kwa ujumla wake.......

Nilichojifunza ni kuwa mapenzi hayapiganiwi bali mapenzi huja natural....pindi unapoona unaanza kutumia nguvu na moyo wako kujaa shaka juu ya mapenzi basi jua umeshakuwa mfungwa kwenye gereza la mapenzi na ndio utakuwa mwanzo wa mahangaiko maishani mwako!!

THINK BIG , TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY.......

 
Noma
 
Suala la mapenzi na siasa ni utapeli ambao siwezi kuwekeza ,siamini mtu hata siku moja.
 
Wako wengi hao tafuta pesa
 
Kawaida haya mambo siku hizi kama hujawaiwa basi unawawai wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…