HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,445
- 6,207
Kitendo Cha kukuachia kilakitu ni tusi kubwa kweli..."sikupendi wewe na Mali zako"utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi
Always hakikisha una wanawake live zaidi ya sita pale unapoona mkeo au mtu wako ni pasua kichwa,hebu jitahidi ujue zamani mbanga zao zilikuwaje,acha kulia njoo na plan b,acha kulialia simama na moyo wako,utandawazi umekuja na wengi,unahitaji kuishi kama mfalme.Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi
Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine
Jamaa analialia wakati humu kuna wadada wazuri wanahitaji wa kuwaoahaya kina dada jimbo liko wazi ingawa mtakuwa na kazi ya kuponya majeraha yake ya mapenzi..
Kusikia kwa kenge mpaka atoke damuUkisema mwenzako unamaanisha mke. Kama sio mke basi amekukomesha maana wanaume wa kizazi kipya mnapenda kujipendekeza.
Yaani mtu hujamuoa unampangia nyumba watu mnapenda sana kupoteza muda na pesa.
Pole mdau.Habari za usiku upande wangu nmekuwa na wakati mgumu wiki hii inayo Isha nilipogundua mpenzi wangu niliyempangia nyumba ameondoka bila taarifa ameenda kwa mwanaume mwingine huku ndugu zake wakiogopa kuniambia ukweli na Kila nilimuuliza ananiambia Yuko kwao lakini vitu vyake vyote ameacha ndani.
Hadi badae ya siku kazaa mama yake aliponitafuta na kuniambia ukweli alisema tulikuwa tunaogopa kukuambia maana huyu mwenzako amebadilika hakika nmeteseka hadi utendaji kazi wangu ukpungua nayalaani mapenzi mimi