Mapenzi yamebeba vifo

Naam akapime tena hata sehemu mbili/tatu tofauti ili kuhakikisha.

 
Pole sana. Kugundua tatizo ni nusu ya uvumbuzi wa kulitatua. Unajua HIV sio tishio kama cancer? Ukiamua kuishi bila stress una miaka kama 30 hivi ya kuishi na afya njema kabisa.

Nenda kwenye ushauri nasaha. Nenda mara nyingi kadri uwezavyo. Pata malekezo ya jinsi ya kuishi na hiv , kujitunza na kujipenda. Grab your life back. Kuna watu wengi tu wana mahusiano ya Karibu, wanapendana na kuheshimiana bila sex. Na ipo siku utapata mwenza mwenye hiv mtaishi nae kwa amani.

Watu wanakaa na HIV na cancer, na diabetes for years! Amua kuishi maisha ya furaha leo. Kila mmoja wetu atakufa, kama sio kwa malaria basi kwa kugongwa na bodaboda. Relax, mwamini Mungu, furahia maisha.
 
Pole sana omba Mungu kwa imani yako utapokea Muujiza wako
 
Dada hii ni hadithi ya kutunga au ni kisa cha kweli!!? Kama ni kisa cha kweli nitumie namba yako pm kuna faraja naeza kukupatia. Pole sana na usidharau
 
Kama ni kweli pole sana kuathirika sio mwisho wa maisha. Ushauri mcheki MziziMkavu anaweza kukuingiza katika quarantine yake akakupigisha dose ya miezi 6 utapona kabisa. Alishawahi toa shuhuda ya watu aliowaponesha kwa dawa zake za asilia. Habatt sauda na makorokoro mengine something like that. Utapona tu amini hivyo
 
Pole sana dada
Historia yako inahuzunisha saana nmeumia mno mnoo ...
All in all usikate tamaa hata kidogo fata masharti ya hospital pia sali saana utaishi miaka ming !!!

Kingine kaaa chini muangilie huyo mtoto your his one and only ,your his everything ,your his happiness let him be your strenght
kwahiyo huhitaji kukata tamaa tena wala usijutie maisha yako sababu bado kuna mtu anayekutegemea kuliko kitu chochote chini ya jua ...
Be strong than ever pigania maisha yako na mtoto
Amka hapo ulipo muangalie mwanao tabasamu halafu mshukuru Mungu

Be strong just be stong .
 
pole sana dada
ni jambo zuri kuijuia hali yako na kuikubar
ushaur wangu kwenye jukwaa la love connect nimekuta wadada wenye hali kama zako wakiomba mahusiano kwa watu wenye hali kama zao nakushauri na ww jarbu ingawa sina uhakika kama wao walikua wanafanikiwa
 
Wanandoa wengi wenye huu ugonjwa asilimia kubwa wanaume ndio wanaouleta ndani.
sio kweli wote tunahusika
zipo ndoa nyingne wanawake hawashikiki na nying tu hapa mjin zingne nimezishuhudia kwa macho yangu

sema huyu dada mungu atamlipia tu kwa yote aliyofanyiwa na huyo mshenz mume wake hapa hapa duniani
 
Pole sana sana Dada. Pole sana. Naomba uje inbox tunaweza kuongea mambo mawili matatu.

Pole sana dear.... Pole sana Mwanamke mwenzangu. Pole Pole dear... Hakika inaumiza sana.
Pole sana dada. Cha kwanza kabisa ukumbuke kuwa katika tatizo hili haupo peke yako, yaani upo wewe ,huyo mme wako ,huyo mke mwenza, aliyemwambukiza mmeo na wengine wote waliowahi kuwa na uhusiano na mmeo.Kundi hill lote ni wahanga wa ugonjwa huu. Kuna mahali umesema ulimwona mmeo na mwanamke mwingine wakiwa na furaha tele,basi jitahidi kuwa na furaha hata kama ni vigumu. Jikubali kwamba hutaweza kubadili hali hii na kwamba ni mapito ambayo kwayo ilikuwa ni lazima uyapitie kuelekea ukomo was maisha yako. Pole sana dadaangu, tupo wengi kwenye mapito haya na tumejitoa na kusonga mbele kama vile hakuna lililotokea. Jikubali tu na funguka.
 
Mungu akupe tulizo dadaangu Hautakufa utaishi na siku yaja utayasimulia matendo makuu ya bwana
 
Ni vyema tena una imani ya kikristu maana yote yalikwisha pale msalabani Calvary. Mwanaume yesu alibeba dhambi zetu zote kwa hivyo kwa kupigwa kwake tumepona.

NGWECHE Angalia clip hii ya TB Joshua akiponya ukimwi in a matter of second hundred and thousands of people wanakiri kupokea uponyaji.

Jina la mungu wetu is more powerful than cancer, more powerful than HIV, more powerful than any disease you can name now. Na hapa ndio mungu unataka kutuonyesha binadamu kwamba yeye ndio master of universe and people..and the end of our thinking capacity is the beginning of his mystical righteousness and unlimited powers.

Doctors cure but God heals.

Trust me utapona kabisa Nina MTU namjua alienda Scoan kwa TB Joshua na HIV baada ya kurudi akarudi na testimony.
Hizo hapo juu ni za Nabii mkuu prophet TB Joshua.

But kuna option nyingine kama hauna Pesa za kwenda huko Nigeria kwa prophet TB Joshua unaweza kwenda kwa prophet frank Kilawah Nadhani anapatikana hapa hapa dar kwa sasa pia watu wanatest negative after being prayed na wanatoa ushuhuda. Muhimu ni kuwa na imani nothing is impossible under mighty hand of God. Ushauri wangu umejikita zaidi spiritual though inaweza kupokea hata huo wa physical world but trust me utapona punde. hii hapa video ya prophet frank Julius Kilawah akiponya HIV instantly.
 
Dada hii ni hadithi ya kutunga au ni kisa cha kweli!!? Kama ni kisa cha kweli nitumie namba yako pm kuna faraja naeza kukupatia. Pole sana na usidharau

hakuna mtu anaweza kutunga habari ya kuwa na HIV sio kitu kizuri mpaka utunge hakuna nitakachofaidika kwa kutunga
 
Wakati mwingine mafanikio ni adui wa mahusiano...!!

Pole sana...
 
Msaada wa haraka na wa muhimu kwa sasa ni counselling .. nenda hospital yoyote ukajiunge na ctc maisha yanaendlea tu dada angu, pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…