Mapenzi yalivonitia umasikini.

jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.

Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.

Upepo 1:
mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.

upepo 2.
Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.

Upepo 3.
Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.

Upepo 4.
Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.

Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.

Hapa umemaliza nguzo zote.

Legelege wengine hawaoni hata aibu kulialia wakati viwanja fulani ilibidi wapige harakiri.
 
Tulizana,it is the time to review ur policies,STRATEGIES and plans but remember GOD is at work.
 
Rudia mistari ya Kongosho utaelewa tu,by the way yeye si yuko kazini wala hamtalala njaa ila jiandae kuwa BUSHOKE!!!!!!!!!
 
duh Kongosho nimekukubali maana hujaacha kitu...jamaa hapo kashapata somo....kongoshoooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.

Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.

Upepo 1:
mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.

upepo 2.
Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.

Upepo 3.
Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.

Upepo 4.
Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.

Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.
 
Hapana sio dhaifu, Nyie wadada mnachangia kuvuruga maisha yetu kwa kiasi fulani nasikia hua mnashauriana eti ili ku force marriage lazima upate ujauzito na bf wako hapo atakua haruki na vitu kama hivo.
Sasa ww unaishi na mdada kama mme na mke unategemea nini?na tena unamlaumu??unaprove kuwa uko dhaifu huna maamuzi kwa maisha yako!!kama ungejipanga na ungekuwa namsimamo yasingekupata hayo!!!anyway waswahili husema majuto mjukuu jipange upya weka malengo uyasimamie ili next time yasijirudie tena!!!!
 
jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.

Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.

Upepo 1:
mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.

upepo 2.
Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.

Upepo 3.
Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.

Upepo 4.
Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.

Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.

JF is more that what I think I know.
Good analysis. Kumbe tikiti bovu limo shambani mwa mwanaume.
 
Thread Za Wadau Zinatosha Kukuweka Sawa!
Sio Mwisho Wa Nafasi Katika Maisha,Ulipewa Wasaa Wa Kusahihisha Umakini Wa Maamuzi Yako.

Mkuu Hebu Jipange Maana Ushakuwa Baba Sasa..Na Huyo Ni Mkeo!!!
 
kwanza badilisha hilo jina lako halafu rudi hapa nikupe njia ya kutokea
Asante mkee kwa kuonesha nia ya kunisaidia, Mana niko kwenye kiza now. Naweza kuku Pm tafadhali ili unionyeshe hiyo njia?
 
Pole mkuu, ndo maisha, na kukosea ndo kujifunza, bibie c bado yuko kazini, hicho hicho anachopata yeye ndo kiwasaidie nw wakati ukiendelea kutafuta kazi
 
usisingizie mapenzi jihukumu wewe, umeshindwa kufikia malengo yako sababu ya kukosa maamuzi,

wewe mtu ataanzaje kukuhamisha nyumba ulopanga wewe kutokana kipato chako, labda kama analipa yeye ndo ungehama

kuhusu ujauzito huko hospital hukuwaelewa ama? kwa hiyo hufahamu mzunguko wa mwenzio

wenzio wanaacha kazi akiwa ameshasiini mkataba mwingine, usirudie tena sawa umeniudhi sana
 
vipi na wewe ungehakikisha unamsaidia kufuatilia njia mliyoshauriwa, bado mgepeana mimba??Okey. sikujihusisha kuhakikisha kua anafuatilia kwa sababu nilimwamini anajua umuhimu wakeUnaonekana baada ya kutoka hospital ulimwachia jukumu 100% huku wewe ukisubiria chakula cha usiku peku peku.
Ndio nilimwchia yeye kwa sababu maelekezo yote yalikua yanamhusu yeye 100%
 
habari zenu wana jf.
Leo nimeona ni share na nyie mambo mabaya yaliyonitokea maishani mwangu.
Miaka mitatu iliyopita niligraduate elimu yangu ya chuo na baada ya kukaa miez kadhaa nyumbani hatimaye nikabahatisha ka ajira ofc fulani hivi. Uongo mbaya nikaanza maisha na nikaona ni bora nihame nyumbani ili nikaanze maisha yangu mwenyewe.
Nikaulizia wafanya kazi wenzangu wanitaftie shemu ya kupaga nearby ofc c unajua tena kero ya usafiri na jiji letu? Hatimaye nikapata kijichumba na kisebule karibu na wanapoishi wafanya kazi wenzangu. Maisha yakaenda kajimshahara kangu liweza kuka control vizuri na niliweza kusave kiasi flani huku nikiwa na dreams lukuki kichwani kwangu.
Baada ya mwaka mmoja kuisha ofc iliajiri wafanya kazi wadada watatu ambao mmoja wapo alinivutia kwa kweli. Kama kawaida nikaanza kuimbisha baada ya kataakataa kama miez kadhaa then akanikubalia na akanimba iwe siri kwani teyari alishatongozwa na wafanya kazi wengine pale pale ofcn. Basi mahusiano yakaanza akawa anakuja nyumbani kwangu mara kwa mara, bahati mbaya akawa anaonekana na wale wenzangu tulokua tunaishi nao nearby. Hakuna tena siri. Akaniomba tuhame pale nilipokua nikiishi kwani hakua akijisikia amani kila ajapo.
Tukatafuta nyumba ingine safari hii very expensive vyumba viwli na sebule nilipohoji singo boy kumiliki vyote liambiwa wageni wakija je? Baada ya kuhamia tu, demu nayeye akahamia. Tukawa tukiishi kama mke na mume. Nikampa woning please usishike mimba kwani sijafikia hata nusu ya ndoto zangu, tukaenda mpaka ushauri nasaha wakatuelekeza jinc ya kujikinga nayo.
Hagharama zikazidi, outing, shopping, rent kubwaa n.k vikafanya kalekale ka salary nilikokua mpaka na save kakawa hakatoshi tena, mishahara haigongani tena.
Baada ya miez kadhaa mwenzangu akapata pregna! Hapana so sorry tuka abort, nikamuonya tena na tena asishike pls lakini onyo langu halikusaidia. Ni baada ya miez miwili tu akashika mimba ingine nikajua kakusudia nkamwambia ajiandae kulea tu.
Kichwa kinachemka, inabidi nitafute kazi ingine yenye kipato maradufu ili niweze kukabiliana na majukumu haya yanayokuja mbeleni. Ndipo nilipoangukia mikononi mwa matapeli wa kazi, wakanitapeli milion moja yangu wakiniahidi watanipatia kazi nje ya jiji. Baade wakanambia nisafiri ili nikaanze kazi uko mkoa, nami kwa kua niliwaamini sana isitoshe ni ndugu yangu nika resign kazi nilonayo na kusafiri hadi mkoa.
Kufika huko subiri subiri zikawa nyingi hatimaye nkagundua kua nshatapeliwa na kule nlishaacha. Mpaka leo hii sijapata tena kaz na yule mdada ndo ashajifungua, nimerudi nyumbani yani ni balaa juu ya balaa sijui nifanyaje wadau!

u can not eat your cake and still have it!
 
Na sasa hivi bado una mtizamo kuwa ilikuwa inamhusu yeye 100%??Kama bado una mtizamo huo, kuna kitu bado hujajifunza.
Ndio nilimwchia yeye kwa sababu maelekezo yote yalikua yanamhusu yeye 100%
 
asante Mungu uliniepusha kupita njia kama hizi,najua si kwa ujanja wangu bali uweza wako Baba wa mbinguni!ukaniepushe tena na tena na hatari yoyote iliyopo mbele yangu.
 
Na hizo mimba zote ni zako; halafu unamlaumu huyo mdada?? Mhhhh!! hii kali. Labda kama na hizo mimba huyo dada kakubambikia.
 
Na ukatoa notice ya mwezi mmoja kabla hujaonana na mwajiri mpya mkakubaliana mshahara mpya na job description? Haki wewe ni toyoyooo! Sijawahi kuona!
Kumbuka ni ndugu yangu alonitapeli nilimwamini asilimia 100, afu mkataba wa kaz unaniambia nitoe notice ya mwez mmoja kabla ya kuacha.
 
maji yeshamwagika... Na kifupi jamaa anahitaji kazi ili aweze kujikimu kwa maisha yake mapya na magumu kwa sasa... Tafadhali tuhjuze yafuatayo:-

1- elimu na utaalamu wako ni katika fani gani plus experience uliyonayo

2- a minimum starting salary unayodhani kidoogo inaweza kukuweka mjini ni kiasi gani

wadau naomba huyu "baba asiyejiandaa" asaidiwe kupata ajira kwa haraka sana maana mtoto ndo huyo na kodi ya pango alopanga masaki inakaribia kwisha.

jf= home of greatest thinkers
 
pole mkuu ni upepo utapita......rekebisha mapungufu yaliyojitokeza kama alivyoorodhesha kongosho.. Usisahau mpango wa uzazi unashirikisha wawili

mnhhh...hapo nilipo-bold naona kama umekosea vile...upepo upitao ni uleeee wa kisiasa hizi pepo zingine hazipiti hivihivi bila kufanyiwa kazi ya ziada.

Nakumbuka shule nilisoma newton laws of motion ipo moja inasema a body will remain at its state of rest until external force is applied...

Huyu bwana bila ku-apply external force sioni anavyobadilika toka hiyo state of rest and worse enough soon atakuwa mariooo baloteli na mama akishaanza kazi baada ya maternity leave ndo jamaa atakuja na thread ya kulalamikia "mfumo jike" hapa jf.

naomba tumsaidie "baba fulani" hapo alipo keshaingiza hadi gea ya foowili naona gari linazidi kuzama.
 
maji yeshamwagika... Na kifupi jamaa anahitaji kazi ili aweze kujikimu kwa maisha yake mapya na magumu kwa sasa... Tafadhali tuhjuze yafuatayo:-

1- elimu na utaalamu wako ni katika fani gani plus experience uliyonayo

2- a minimum starting salary unayodhani kidoogo inaweza kukuweka mjini ni kiasi gani

wadau naomba huyu "baba asiyejiandaa" asaidiwe kupata ajira kwa haraka sana maana mtoto ndo huyo na kodi ya pango alopanga masaki inakaribia kwisha.

jf= home of greatest thinkers

Who Cares? is the one who cares!nimependa ulivyoenda mojakwamoja ktk utatuzi wa tatizo!great attitude
 
Back
Top Bottom