Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Kuwa makini. Alikueleza changamoto za ndoa yake kama njia ya kukupooza tu. Kwa Mantiki hiyo, hana huruma. Na ninakuhakikishia kama ulimpa contact zako atakutafuta akutafune tu just kwa ulafi na si kama anakupenda. Kama alikuwa anakupenda angekushauri uendae shule na akulipie ada. Akupe condition kuwa ili akuoe ni lazima asome kwa bidii ili uwe mke wake msomi. Kitendo cha kukatia mawasiliano ghafla ni cha kinyama na ninakuhakikishia alikuwa na mtu tayari hata kama siyo huyo aliyemuoa. Watch out.Nilikutana nae akaanza kunihadithia changa moto za ndoa yake...mm nikampa pole nikamwanbia nipo chuo fulani aliumia na alijuta akaniambia kama angejua angenishaur nirud shule na anisubir. Maana ameoa lkn kama hajaoa
