Mapenzi yaliniumiza mpaka nikarudi shule

Mapenzi yaliniumiza mpaka nikarudi shule

Baby jamaan ni wakati wa Kusahau yaliyotokea ,tuweze kuendelea na maisha yetu pamoja. Bado nakuhitaji
 
Asingekuambia usingesoma

Mama sitaki kuona mama kilaza wanangu watanilaumu Sana

Fursa za kusoma ziko kibao why ushindwe?
 
Nilikutana nae akaanza kunihadithia changa moto za ndoa yake...mm nikampa pole nikamwanbia nipo chuo fulani aliumia na alijuta akaniambia kama angejua angenishaur nirud shule na anisubir. Maana ameoa lkn kama hajaoa
Bila shaka atakula kimasihara
 
Sidhani kama namuhitaji tena. Me naona Mungu alimleta maishani mwangu once ili anidharau nipate uchungu nifike nilipo sasa. Wala simchukii japo alimiumiza
Na hupaswi kabisa kumchukia..
Kwasababu kupitia yeye ndiyo ulipata nia ya dhati kukufikisha hapo. Hao watu lazima ukutane nao katika maisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom