Mapenzi yako wapi hapa?

Mapenzi yako wapi hapa?

dah ndugu sio wako tena huyo pole sana hayo ndo maisha
 
Pole mkuu cz inauma bt try kufanya research ujue nn chanz pngne kna k2 knamchanganya au kaskia toka kwako hajakpenda co ndo mana anafany hvyo.
 
litakuwa ni pigo kubwa sana cz i still love her
angalia afya ya moyo wako kwanza, wa mwingine badae. hata biblia imesema mpende jirani yako kama nafsi yako. maana yake ni kwamba jipende nafsi yako kwanza ndo umpende na mwingine. so anza kujipenda kwanza wewe kwa kumsahau ili kujiepusha na stress zinaoelekea kukujia mda si mrefu.
 
Stuka wewe dalili ya mvua ni mawingu!! Pigo kubwa kwa kutoswa na demu? Je ukifukuzwa kazi itakuwa pigo gani?
 
Dalili ya mvua ni mawingu kaka! Kuna aliekupiku hapo chunguza umjue kisha ujithaminishe kwake kabla ya kuachia ngazi.
 
Mwazoni tulipendana sana kiasi kwamba 2liweza kuongea hata kwa masaa 3 bila kuchoka , alinipigia cm kila cku , saiz kupokea message yake ni mpka nimtumie ndo anijibu ,mara ya mwisho kanipigia cm cjui ni mwezi gan ! Kuna dalili za mapenzi ya kweli hapa ?

HUko uliko kuna uhaba wa mademu nini? Mpende akupendaye asiyekupenda hachana naye! Akikuzengua mpotezee, akileta kiburi mdharau; ukimpigia sipopokea futa namba yake ili siku akipiga muulize YEYE NI NANI.

Una mambo mengi ya kufanya tofauti na kubembeleza mtu anayejifanya matawi!
 
natambua hilo suala mwenyewe nipo kwny kibarua kigumu ,she is nt the same i used 2 knw cz hata tukiongea atakatisha 2 maongezi na hata cku 2kiwa 2nachart nikim2mia 2 sms ya mapenz ndo kama nimemfukuza hajibu tena txt

Unafikiri ukiongea kwa huruma hivi ndo atakuonea huruma.?

Kwa taarifa yako kuna mtu anabembelezwa na demu wako hahaaaa
 
angalia afya ya moyo wako kwanza, wa mwingine badae. hata biblia imesema mpende jirani yako kama nafsi yako. maana yake ni kwamba jipende nafsi yako kwanza ndo umpende na mwingine. so anza kujipenda kwanza wewe kwa kumsahau ili kujiepusha na stress zinaoelekea kukujia mda si mrefu.

lemme try 2 do it ,seems it works out
 
HUko uliko kuna uhaba wa mademu nini? Mpende akupendaye asiyekupenda hachana naye! Akikuzengua mpotezee, akileta kiburi mdharau; ukimpigia sipopokea futa namba yake ili siku akipiga muulize YEYE NI NANI.

Una mambo mengi ya kufanya tofauti na kubembeleza mtu anayejifanya matawi!

u are wise enough !
 
Pole mkuu cz inauma bt try kufanya research ujue nn chanz pngne kna k2 knamchanganya au kaskia toka kwako hajakpenda co ndo mana anafany hvyo.

ni m2 ambaye nilijaribu kumweka waz kuhusu mm na amekuwa akinifahamu kwa mda mrefu
 
hatakuwa wa mwisho kukuumiza, mapenzi ni kama fasheni huja na kuondoka
u ll fall inlove manymore times, n u ll suffer manymore brokenhearts kabla hujajua nini hasa maana ya neno kupenda
kuna watu wamecomment humu kimzaha lakini nisikufiche wana yakwao tena mazito kuliko lako
 
ila kwel
 
Mwazoni tulipendana sana kiasi kwamba 2liweza kuongea hata kwa masaa 3 bila kuchoka , alinipigia cm kila cku , saiz kupokea message yake ni mpka nimtumie ndo anijibu ,mara ya mwisho kanipigia cm cjui ni mwezi gan ! Kuna dalili za mapenzi ya kweli hapa ?
Unajua mm huwa siwaelewi kabisa!! How possible can you waste your precious little time you have thinking about that rubbish?Mwanamke wa kiswahili anakupotezea muda shiiiit!!Keep on moving meen,achana na huo upuuzi,hataki that's all,sio mwisho wa dunia,wako wengi wamejaa tele out there waiting for men like you!!! Acha upumbavu kabisa wa kukaa unalalamika kitoto kwa sbb ya mwanamke badala ya kupiga kazi na kusaka mahela.
 
Back
Top Bottom